Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.
ccm mmechanganyikiwa tulizeni akili, pungizeni mihemko. Angalau mtapunguza kipigo kidogo octoba 25. Mmechanganyikiwa sana. Poleni
 
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la mchungaji mtikila hakuna tairi liliposuka. Sasa tuambiwe sababu ya kuacha njia na kupinduka ni nin?
2. Mchungaji mtikila hana alipoumia au kubleed damu.(labda iwe kafa kwa mshtuko wa moyo au internal wounds. Kwenye picha anaoekana hajaumia hats kidogo hata nguo alivozavaa zikiwa hazijachanika hata kidogo.sasa tuambiwe sababu gani nyingine iliyopelekea kifo chake.
3.tunaambiwa ajali alipata saa 11 alfajiri chalinze kwaa asili ya eneo la chalinze ni eneo bize sana kwa nini picha iliyosambaa inaonesha ninasubuhi kabisa kumekucha ina maana ajali yake haikushtukiwa na wtumiaji wengine wa barbara mpka asubuhi.
Angalizo cjamlaumu mtu yeyote kwenye hii ajali ila ni maswali ambayo nilikua najiulza binafsi sasa nawaomba msichafue hali ya hewa.

subiri majeruhi wapone ndo watakupa real story ya ajali
 
Angalia hiyo picha kapasuka kichwa hadi ngozi ya nyuma inekuja masikioni.. ni ajari ya kawaida

Namshangaa mtoa mada eti anasema hajaoana alipoumia Marehemu,hiyo ngozi iliyojikunja haoni kuwa ajali ilikuwa mbaya na hadi gari likapinduka juu chini,chini juu halafu anataka atudanganye eti ajali ilikuwa ya kawaida tu,na ndio maana nikamwambia aweke picha tuone,bahati nzuri mdau mwingine akaitupia,R.I.P Mchungaji
 
Mtoa mada kama hujaridhika na kifo cha mchungaji ruksa kufanya uchunguzi huru.
 
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la mchungaji mtikila hakuna tairi liliposuka. Sasa tuambiwe sababu ya kuacha njia na kupinduka ni nin?
2. Mchungaji mtikila hana alipoumia au kubleed damu.(Labda iwe kafa kwa mshtuko wa moyo au internal wounds. Kwenye picha anaoekana hajaumia hats kidogo hata nguo alivozavaa zikiwa hazijachanika hata kidogo.Sasa tuambiwe sababu gani nyingine iliyopelekea kifo chake.
3.Tunaambiwa ajali alipata SAA 11 alfajiri chalinze kwaa asili ya eneo la chalinze ni eneo bize sana kwa nini picha iliyosambaa inaonesha ninasubuhi kabisa kumekucha INA maana ajali yake haikushtukiwa na Wtumiaji wengine wa Barbara mpka asubuhi.
Angalizo cjamlaumu MTU yeyote kwenye hii ajali ila ni maswali ambayo nilikua najiulza binafsi sasa nawaomba msichafue hali ya hewa.

Mhh... wenyewe unajiona great thinker
 
Uchunguzi ungeanzia kwa yule aliekimbilia India kwanza then tuje kwa huyu wa leo
 
Kwani abiria wengine wanaendeleaje?

Wameshaenda Kupeleka Feedback Ya Aliyewatuma Kufanya KILICHOFANYIKA Na Si Ajabu Hata Wao Pia Wakamfuata MCHUNGAJI Leo Jioni au Kesho ILI KUMALIZA USHAHIDI Wa Scenario Nzima. Principles Za KIMAFIA Na KIJASUSI Duniani Kote HAZITOFAUTIANI Sana. King Maker Sasa Hivi KATULIA Tu KIMYA Huku AKIDHANI Kazi IMEKWISHA Wakati Kumbe Ndiyo Kwanza WANAMUME Wameamka Na Kuanzia Leo Hadi Tarehe 24 Ni Shuka Kwa Shuka Na Ngozi Kwa Ngozi Campaign Huku Tarehe 7 WATU Wawili MAARUFU Na Wao WAKIANZA KUFAGIA NJIA Na KUCHAFUA Kule KOTE Walikopita WALIOMTANGULIZA Reverend Alfajiri Ya Leo.
 
kuna picha nyingine gari limeharibika
sababu kubwa ya magari kuacha njia tena usiku na asubui sana ni dereva kusinzia, nani alikuwa anaendesha?
Pia ukingalia hiyo picha kichwa hakipo sawa labda alijibamiza kisogoni
majeruhi watatoa picha vizuri ya ajali
 
attachment.php


Tusicheze na mambo ya ajali, angalia alipokaa hayati Mtikila seat ya mbele kushoto kwa dereva, hizi imagination jamani tujaribu kusitisha.

Tunatakiwa kila wakati kuwa tayari kupokea mapenzi ya Bwana anapotuita kwake, hakuna binadamu aishiye milele, lazima kila mtu afe na mwili kurudia mavumbi.
 
maswali yote sijaona logic ya kuoanisha Na unachokiwaza. kama Mwalimu wako wa driving school alikuambia gari kuacha njia lazima tyre lipasuke naomba urudi chuo kingine ukalisiti driving. muda wa ajali na picha nalo sio ksb kama ajali imetokea saa kumi na moja unataka kutuambia kuwa ilikuwa lazima kuwa watu wa kwanza kufika eneo la tukio wasisaidie majeruhi wapige picha kwanza na kuzituma kwenye mitandao na hata kama hawakuwa na camera. mwisho daktari wako alikuambia kuwa kifo cha ajali ya gari lazima uwe na external wound na nguo zichanikane kana kwamba ilikuwa vita . ya mungu mengi .

Nataman mtoa mada arudi kusoma hii mara 3
 
1:si kila gari inayoacha njia basi sababu iwe kupasuka tairi.usiishi kwa kukariri.mf dereva anaweza kusinzia akiendesha kisha akaenda pembeni lakini akashtuka na kuiirudisha gari barabara kuu kwa ghafla,hapo lazima iache njia. 2:jibu unalo .mshtuko3:eneo halisi ni msolwa ,simu zinatofautiana uwezo.mwisho usihukumu uhai wa mwenzio au afya yake.mwache MUNGU AITWE MUNGU
 
Swali la kwanza ni la kitoto sana kwamba gari huacha njia kwa panja tu? Eeeh kweli hii ni hatari unashindwa kujua kuna wakati mtu anaweza kuwa spidi kali then yakatokea haya 1. Gari ikamshinda driver 2. Driver akaona maruweruwe barabarani na kutaka kukwepa ukajikuta upo nje na road 3. Unaweza stukia shimo ukiwa karibu unapojaribu kulikwepa tu unajikuta upo mtaroni 4. Driver anaweza akasinzia kidogo tu akajikuta nje ya road. Sasa sijui kama ulishawahi drive gari kwa main road kama ya morogoro road?
 
Inamaana hujui, dereva anaweza kusinzia, staling road inaweza kuchomoka, kukatika au break zinaweza kupotea hajui hata matuta au mawimbi ya barabarani yanaangusha gari? Wewe ni dereva kweli au umelishwa tu mane no uongee?
 

Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.

mkuu huyu jamaa atatumaliza bana...
 
Back
Top Bottom