Kinambeu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 906
- 454
Wakati wanamtoa chini ya gari, hilo gari hawakuligeuza? Au walimchomoa kama mwiba?
Mgaya jiandae👹👹👹👹👹👹👹👹👹
Wakati wanamtoa chini ya gari, hilo gari hawakuligeuza? Au walimchomoa kama mwiba?
mbona kama habari zote zinamlenga chadema what exactly unataka kusema.. kwani hakuna ccm waliokufa kwa ajali kama hizi.. akina moringe sokoine! tusipende kuwa na mawazo negative tuh! kila siku
Wiki mbili zilizopita Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila alipata ajali na kufariki maeneo ya Chalinze Mkoani Pwani. Hotuba za Marehemu Mtikila mwishoni mwisho kabla mauti hayajamkuta, mazingira ya kifo chake viliibua maswali mengi sana kwa wananchi.
Kabla na baada ya kifo cha Mchungaji Mtikila , yalifuatia matukio makubwa ya kuhuzunisha, ya kisiasa na ya uvunjifu wa sheria ya makosa ya mitandaoni.
Imegundulika kuwa Matukio haya yalipangwa kutokea/kutekelezwa ili kuwasahaulisha Watanzania na familia ya Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila juu ya kuondokewa na mpendwa wao katika mazingira ya kutatanosha, hali inayozidi kuzidisha wasiwazi wa juu kifo chake.
1. Kuzushiwa ugonjwa Mkuu wa Majeshi nchini
2. Kuhama Kada mkongwe wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru
3. Uzushi wa Pesa za Chama cha Walimu kuchotwa kwa ajili ya Kampeni
4. Malumbano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu wizi wa Kura na wapiga kura kubaki kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura kwa madai ya kupiga kura.
5. Propaganda kwamba kuna baadhi ya Marehemu wamekutwa na mauti kwa sababu walimuita Mgombea Urais wa CHADEMA ni mgonjwa.
Habari za ajali iliyopelekea kifo cha Mtikila kutokuwa ajali ya kwaida zimeibuka baada ya kutokea kutoelewana kwa wadau wa Taasisi ya Lowassa ndani ya CHADEMA na CHADEMA asili. Taasisi ya Lowassa inaundwa na Team Lowassa, 4U movement na Friends of Lowassa. Vijana wa 4U movement ndiyo waliovujisha habari hizi baada ya kuonekana kuwa LOWASSA ameanza kuegemea zaidi kwa vijana wa Chadema asili kutokana na wasiwasi kuwa 4U movement wanaweza kuwa ndumila kuwili yaani nusu kwake yeye(Lowassa) na nusu CCM.
Wafuatao wanatajwa kuhusika na mchakato wa kuhakikisha Mchungaji Mtikila anaondoka duniani:
1. Mstaafu wa Taasisi nyeti kabisa nchini. Huyu ni swahiba wa siku nyingi sana wa Edward Lowassa. Anasemekana kuongoza harakati hizo, japo siyo moja kwa moja bali kwa kuwatumia vijana wake ambao hata hivyo hawakuweza kufahamika.
2. Kada wa CHADEMA ambaye ni maarufu sana katika mtandao wa kijamii wa tweeter. Jina lake la pili linafanana na jina la muimbaji wa nyimbo za injili mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka 2000 na ambaye naye anaonekana kuwa mwanaharakati kwani siku za hivi karibuni video yake imeonekana kwenye mitandao ya kijamii akimuomba Mungu aiondoe CCM madarakani.
3. Kada mwingine wa CHADEMA maarufu sana katika mitandao ya kijamii. Jina lake moja linafanana na jina moja la baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baada ya kifo cha Mchungaji Mtikila, Kada huyu amepotea kabisa kwenye mitandao ya kijamii na haijajulikana sababu ni nini.
4. Vijana wawili wa 4U movement ambao hawakuweza kufahamika haraka. Hawa ndio wanaotajwa kuvujisha siri ya njama za mipango ya kifo cha Mchungaji Mtikila.
Makada hawa wawili namba 2 na namba 3 ndiyo wanaotajwa kuwatumia vijana mitandaoni kueneza propaganda mbalimbali zikiwemo hizo tano hapo juu zilizokuwa na lengo la kuwasahaulisha watanzania juu ya utata wa kifo cha Mchungaji mtikila.
USHAURI KWA VIJANA WETU: Tujiepushe kabisa na kutumiwa kwa namna yoyote ile na wanasiasa kutekeleza mambo ambayo ni chukizo kwa Mungu. Siku ya hukumu , Hatakuwepo LOWASSA kubeba dhambi tulizotenda kwa sababu tu ya tamaa ya pesa, madaraka au hata kutaka sifa. Sifa na utukufu tumfanyie Mungu kwa kutenda yaliyo mema hapa duniani na siyo kumpa binadamu mwenzako kwa kutenda maovu.
Hapa kuna kitu kitafahamika
ALWATAN KIZIGO
Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.
Mission ACCOMPLISHED And LIFE GOES ON.
Kwani abiria wengine wanaendeleaje?