Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Ujaona au?Hebu rudia kusema !!
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.
Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?
Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?
Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
Awaombe Wanachadema radhi tutamchangia!
Achana nae huyo mkuu,tunaomjua hatutegemei kumuona akisema tofauti na hivyo.Hebu rudia kusema !!
Ila Dr Slaa yupo CCM au? Swali la msingi, je huo ukopaji wa mali ulifanyika wakiwa wapi? Kwa kumbukumbu zangu Dr Slaa bado ni member wa CDM na siyo CCM na Machemli yupo huko alikoNaomba nikurekebishe Machemli yupo ACT na sio CHADEMA kwa hiyo kama nyumba zake kinapigwa mnada sema aliyegombea Ubunge jimbo la Ukerewe kupitia ACT ndugu machemli Nyumba zake zapigwa mnada usiihusishe CHADEMA hapo.
Achana nae huyo mkuu,tunaomjua hatutegemei kumuona akisema tofauti na hivyo.
Angalia avatar yake kwanza kisha ujiongeze.
Alisema amestaafu siasa,CDM ni chama cha siasa.Ila Dr Slaa yupo CCM au? Swali la msingi, je huo ukopaji wa mali ulifanyika wakiwa wapi? Kwa kumbukumbu zangu Dr Slaa bado ni member wa CDM na siyo CCM na Machemli yupo huko aliko
Una maana Dr Slaa atapika,Kula na kulala kwenye moyo wake mzuri?Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?
Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?
Moral and Human principle is more than material gain!
Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...
Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
And how anahusiana na CCM angalia hoja ya mleta mada.Alisema amestaafu siasa,CDM ni chama cha siasa.
Sasa huyo Slaa anahusiana vipi na CDM?
Ukiwasoma vijana wa Chadema kwenye thread kama hizi ....unahitaji kuwa mwendawazimu kuwa sehemu yao katika mapambano ya kutetea wanyonge wa nchi hii ....wameshaandika kejeli na matusi juu kwa headlines za magazeti tu ....
Hivi kwa nini siasa za Tanzania ni za uhasama na uadui wa chui na nyati?
Mikopo binafsi ya Dr. Slaa na mkewe kwa nini iongelewe pamoja na past political life yake?
Ukitofautiana na wenzio kwenye chama, ukibadilisha au ukidhaniwa umebadilisha mrengo wa kisiasa unalaaniwa, unazodolewa, unatukanwa na kufukuzwa kama mbwa bila kujali mchango wako wowote uliowahi kutoa kwa cham au kwa nchi, why is that???
Teh tehe utamchangia wewe! Ha ha haAwaombe Wanachadema radhi tutamchangia!
Ambaye hana deni au mkopo anyooshe kidole juu
Hayo ndo madhara ya siasa ....
Pia kama sikosei sijawahi kukutana na mtu alomuhasi Mungu na mambo yake yakamnyookea. Jaribu kulifanyia utafiti hilo
HahahahahaaMtazamo, kwanini unajitesa hivyo?
Dhambi ya usaliti hainaga msamahaUkiwa msaliti ni lazima dhambi ikuandame hadi kiama