Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Ukiwasoma vijana wa Chadema kwenye thread kama hizi ....unahitaji kuwa mwendawazimu kuwa sehemu yao katika mapambano ya kutetea wanyonge wa nchi hii ....wameshaandika kejeli na matusi juu kwa headlines za magazeti tu ....
Tuletee headlines za Lumumba
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
Wakati wa kampeni alipewa dola million 2 sawa na billion 4 za kitanzania hii pesa ilitoka kwa Membe ambaye ana hazina ya Mabilion ya marehemu Gadafi ambazo kazichimbia kwenye handaki nyumbani kwake zingine kahifadhi kwa jina la Jack Gotham sehemu mbalimbali Duniani na Nchini, hizo pesa baada ya kupewa alienda kununua nyumba huko Nje zingine akaweka kwenye Account kwa ajili ya kujikimu huku akisubiria ahadi zingine alizopewa na ccm, sasa kimenuka nadhani Mwakyembe, Membe, nape, Sita na wenzao ambao walikuwa wakimtumia kuwahujumu Ukawa watachanga na kumwokoa na Aibu ya mwaka 2016.
 
Alikuza chama kweli lakini kafikia bei na CCM. Mbowe anaingiaje hapa kwani Slaa ni mfugo wake?
Madalali wa siasa nape na Makonda walitumika kumrubuni atakubali kupokea pesa toka kwa Membe akauza utu wake na kuukana upinzani, sasa ni wakati wa kumpigia magoti Mwakyembe, Membe na wana ccm wote walioshiriki kumdanganya wamsaidie alipe deni aokoe nyumba yake.
 
Ukiwa na ubongo ulio hai lazima utashangaa kwanini CCM ishindwe kumsaidia mtu aliyewasaidia kukidhohofisha chama chake mwenyewe, Dr Slaa hakuisaliti CHADEMA bali aliamua kusimamia kile anachokiamini.

Waafrika tuna shida kubwa ya kutokuwa na misimamo na ndio maana tumekuwa vigeu vigeu ktk mazungumzo na matendo yetu ya kila siku.

In fact hatujazowea kuwa na wanasiasa wanaosimamia kile wanachokiamini mwanzo mwisho,tumeshazowea uswahili uswahili na kwasababu hiyo basi wengi wenu mlitaka Dr Slaa afanye siasa za kiswahili swahili.

Dr Slaa angekuwa anafanya siasa za namna hiyo toka zamani nadhani CHADEMA wangepotea sana, ilihitajika kiongozi mwenye misimamo kama Dr Slaa kuweza kuivusha CHADEMA salama ktk misuko suko na dhoruba kali za kisiasa ilizokumbana nazo huko nyuma. Ila nyinyi wafuasi wa Mbowe hamuwezi kuyajua haya, very soon you are going to find out what you lost.
Kkumbuka kuwa kabla ya Slaa hajazungumza na waandishi wa habari alikaa chumbani na Mwakyembe masaa matatu, kila kitu kinajulikana Dr Slaa hukahama Chadema kwa mapenzi yake bali alirubuniwa na ccm kupitia madalali wa siasa akina Nape, Makonda ambao walipiga cha juu pesa ya ccm huku ya Membe dola million 2 nayo wakamwomba ganji Slaa, kufa kufaana wapo wengi walipiga pesa kupitia mgongo wa Slaa, sasa anahaha kuokoa nyumba wanamcheka namshangaa kwa nini haendi msoga akachukue pesa alipe deni maisha yaendelee.
 
Yes ni Josephine ndio aliyekopa milioni 300 Bank iliyopo barabara ya sam nujoma....Hawa wanawake(Baadhi) wanalostisha sana ona Dr. Alivyompoteza.

Chanzo: Tanzania Daima.
Huyo demu ni majanga ni mtu anayependa maisha ya juu hata madalali wa siasa Walipitia kwake kabla ya kumfikia slaa tena Dalali mmoja anachepuka naye mpaka sasa yaani ni full kula uliwe na kuliwa vyao vya ziada.
 
Josephine damu inachemka mkuu wa Wilaya bado anajichepukia kiulaini sasa yupo nae anamdanganya atamsaidia kuwapata wa kumlipia deni.
 
Wewe nyumbu wa Lowassa jifunze kwanza kuandika ndio uje hapa kuandika pumba ulizoandika.
Jifunze adabu kabla ya kuparamia wanaume.

Kwa akili zako za guluguja, kila anayemsema Dr. Slaa vibaya lazima ni mtu wa Lowassa.

Wakati nishaisema vibaya sana CHADEMA kwa kumkubali Lowassa.

Tatizo una one track mind and blind confidence.

Badilisha jina.

Unadhalilisha wenyewe wenye ushua wa kweli.
 
Huyu mzee malipo yake anaanza kuyapata hapa hapa duniani...
 
Wakati wa kampeni alipewa dola million 2 sawa na billion 4 za kitanzania hii pesa ilitoka kwa Membe ambaye ana hazina ya Mabilion ya marehemu Gadafi ambazo kazichimbia kwenye handaki nyumbani kwake zingine kahifadhi kwa jina la Jack Gotham sehemu mbalimbali Duniani na Nchini, hizo pesa baada ya kupewa alienda kununua nyumba huko Nje zingine akaweka kwenye Account kwa ajili ya kujikimu huku akisubiria ahadi zingine alizopewa na ccm, sasa kimenuka nadhani Mwakyembe, Membe, nape, Sita na wenzao ambao walikuwa wakimtumia kuwahujumu Ukawa watachanga na kumwokoa na Aibu ya mwaka 2016.
TUTAKUTAKA UKATHIBITISHE MAHAKAMANI KAMA YERICKO NYERERE
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
Sio nyumba yake, ni ya mama.
 
Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?

Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?

Moral and Human principle is more than material gain!

Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...

Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
Hizo moral and human principals CHAMA CHA MAPINDUZI hawana?
 
Kama ni kweli CDM inaamini kuwa Dr. Silaa alisaliti chama, na kama ni kweli nyumba ya Dr. inauzwa ili kufidia deni alilokopa; basi revenge nzuri ambayo chama kinaweza kumfanyia ni kumsaidia kulipa hilo deni kisha wamwache aendelee na maisha yake. Itamfanya awaze sana na auone umuhimu wa Chama kwake milele.....
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
kwangu slaa ni kama nyanya iliyooza siwezi kumuita Docta kwasababu hana hadhi ya kuitwa dokta ,kwanza udaktari wa dini wa kupewa,dokta hawezi kuungoe utumbo wa kuku kwenye vyombo vya habari sasa alifaidika na nini huku nyumba yake ikuuzwa kwa mnada ?
 
Moyo safi ni kukataa kumsaidia fisadi lowassa na genge lake kuingia Ikulu.

Hii ni dhawabu kubwa sana katika maisha ya baadaye!
Kweli ni itamfaa kwenye maisha ya baadae akiwa analala kwenye ma pagala
 
Tatizo LA kuamini kila kitu kinacho tolewa na
Magazeti bila kuuliza swali.
 
Back
Top Bottom