Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Mwenzako yuko Marekani anasoma wewe endelea kula vumbi kwenye majukwaa ya Chadema halafu hata ubunge wa viti maalum hujapewa!

Hivi Tanzania Daima ni gazeti la kufanyia reference?
Hapana MAWIO ndo lakufanyia reference
 
Hii siyo sawa kabisa Mzee mzima na juhudi zote za kuiokoa CCM Leo wanashindwa kumsaidia kulipa mkopa Bank...

Kama walishindwa kumsaidia Komba aliyekulia chamani akiwa nguo unadhani wataweza kwa huyo aliyetumika kwa miezi mchache tu.
 
Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?

Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?

Moral and Human principle is more than material gain!

Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...

Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
Awe na moyo safi baada ya kusema tangu siku ya kwanza mpk mwezi ndy akasema mwali kesha chukuliwa mbele yake na hakusema. Unamfanya Mungu shemeji yako eti aliamua kuwa na moyo safi.
 
Kwikwikwikwiiiiii! Mwambieni na Mbowe awaombe radhi ili mumchangie
Makuhani walikuwa wakimkejeli yesu msalabani kwa kejeli za aina hii (sijasema kuwa mbowe ni yesu)
Mwishowe wakaukosa na huo ukuhani.
Weka akiba ya fikra kama sii akili.
 
Makuhani walikuwa wakimkejeli yesu msalabani kwa kejeli za aina hii (sijasema kuwa mbowe ni yesu)
Mwishowe wakaukosa na huo ukuhani.
Weka akiba ya fikra kama sii akili.
Mbowe aliendesha propaganda ya kumhujumu Dr Slaa. Sasa analiona jiji
 
Wanacheza na akili zetu, hii nyumba ina link na Mbowe.Dr Slaa anataka kufuta hiyo history na kupigwa mnada ndio njia sahihi.
Pesa ya ccm wanayo nyingi soon wataanza jenga hekalu lao bila kuwa na back up ya Chadema


Umeona eeh ...

Hawa ni wamjini sana ....kala pesa mbaya mno kisha wakafanya chezo ionekane katoka kisa lowasa na mbowe kala pesa vizuri kwa kumpokea lowasa !
Wanazuga tu wote makada hawa !
 
Back
Top Bottom