Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

haya sasa, ni wakati muafaka kwa wana cdm asili kujitokeza na kuwa bega kwa bega na dr. slaa. fungueni bank acct.,mpesa, tigopesa na airtel money. mimi si cdm ila nitakuwa bega kwa bega nanyi. dr. slaa ndiye aliyewatoa tongotongo hivyo haifai jambo hili limtokee. achaneni na ma-cdm ambayo kutwa kucha yanambeza dr. yamesahau dr. alipoyatoa, hayana shukrani. ni wakati wa kuonyesha dr. slaa anao marafiki - akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. a friend in need is a friend indeed.
...mwambie aende usalama,bado kuna fungu lake lilibaki kule!
 
Sikuwahi kufikiria kwamba akina Crashwise watakuja kumkejeli Dr Slaa na kumuabudu Lowassa kwa jinsi ambavyo huyu mzee alitumia juhudi na maarifa mengi ktk kukiimarisha hiki chama.

Mara hii wamesahau yote mazuri ambayo Dr Slaa aliyafanyia CHADEMA, eti wanamwita msaliti,mtu aliyekaa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka 30,akikihudumu chama kama katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 20 leo asiaminiwe halafu kuaminiwa mtu ambaye maisha yake yote alikuwa na CCM,kwa zaidi ya miaka 40. Kajiunga juzi tu na CHADEMA mara hii yeye ndio limegeuka kuwa Mungu ndani ya chama, kila goti la mfuasi, kada na mwanachama wa CHADEMA kwake litapigwa.

Kweli fedha ni sabuni ya roho, ukiwa mpigania uadilifu na ukweli kama Dr Slaa utadharaulika, ukiwa mtu mwenye tuhuma nyingi za ufisadi kama yule jamaa yetu maadamu una pesa basi hata magoti utapigiwa.
Una tatizo kubwa la akili huyu msaliti padri mzinifu kaja chadema 1995 rekebisha hayo mahesabu yako ya miaka 30 na 20
 
Hivi kwa nini siasa za Tanzania ni za uhasama na uadui wa chui na nyati?

Mikopo binafsi ya Dr. Slaa na mkewe kwa nini iongelewe pamoja na past political life yake?

Ukitofautiana na wenzio kwenye chama, ukibadilisha au ukidhaniwa umebadilisha mrengo wa kisiasa unalaaniwa, unazodolewa, unatukanwa na kufukuzwa kama mbwa bila kujali mchango wako wowote uliowahi kutoa kwa cham au kwa nchi, why is that???
 
...uliandika pumba ndio maana nimekwambia hamna ulichoandika,labda urudie kuandika kingine ndio nitakuelewa!

Ahaa, kumbe ulimaanisha nimeandika Pumba!

Hapo sina usemi mkuu, hata nikirudia kuandika itakuwa pumba tu kwako.
 
Dr alikuwa anajua kweli kuwa mchumba wake amekopa mil 300?
 
Hili nalo ni jipu wacha litumbuliwe, kuchukua mkopo na kutorudisha ni wizi wa kuaminiwa, mchumba kamuingiza chaka mzee wa watu.
 
Dr Slaa mwenyewe alishawahi kukiri kuwa nyumba anayoishi alisaidiwa kununua na Mbowe,naona Mbowe kaamua kuchukua nyumba yake;Mbowe una roho mbaya sana yaani umeshindwa kufikiria nguvu za Dr Slaa katika kukikuza chama mpaka umemkomoa kwa kumpokonya nyumba yake?
Mbowe siku hizi ni Bank? Mtu anapewa nyumba halafu anamwachia mchumba akope hela Bank bila kusimamia hiyo biashara kisha mlitaka Mbowe aje tena amlipie na deni?
 
magazeti ambayo yapo biased kwenye upande mmoja kama uhuru, Tanzania daima, tazama, jambo leo, mkakati, huwa siyaamini kabisa kwenye habari zao za siasa
 
Ukiwa chadema ata akiwa rijali namna gani but akili yake inakuwa kama ya yule anaemchukia mzee wa msonga ati anajidai amepotezewa barafu la moyo wake. shame on you CHADOMO
 
Dr alikuwa anajua kweli kuwa mchumba wake amekopa mil 300?
Kwa yule mama wa Kihaya pengine Dr alikuwa hajui. Na mama pengine lengo lake lilikuwa hilo deni atalilipa atakapo kuwa first lady na kuanzisha WAMA 2.
Ndio maana aliposikia mzee katoswa kugombea alikuja juu sana ikiwa ni pamoja na kimlaza mzee mzima kwenye boot ya gari
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
Duh............................. na Dr wa Mihogo naye kaanza kusomeshwa namba?

Sasa Dr Slaa ndiyo ataelewa kwa nini watanzania wakati mwingine wanaiita CCM kuwa ni Chama Cha Majambazi.

Imagine ile mikutano yake iliyokuwa ikiandaliwa na KITENGO pale Serena Hotel, pamoja na kumchukulia chumba humo humo hotelini ambamo alikuwa akiishi kwa wiki kadhaa akila na kunywa na kulipiwa na serikali hiyo ya CCM aliyokuwa akiipigia debe, leo hii wanamuona kama takataka?!

Imagine serikali hiyo hiyo ya Chama Cha Majipu iliyokuwa ikigharimia safari za kwenda Marekani akiambatana na 'mchumba' wake Josephine na huko Marekani alikuwa akifikia Hoteli zenye hadhi ya nyota 5 na gharama zote hizo zikigharimiwa na KITENGO, sasa leo hii hao jamaa wanashindwa kweli kumlipia hilo deni la nyumba la milioni chache, hadi wanakubali nyumba ya 'mpiganaji' wao inapigwa mnada?!

Hilo liwe fundisho kubwa sana walipate wasaliti kutoka vyama vya uipinzani ambao huwa wanaona wakivibomoa vyama vya upinzani kwa manufaa ya chama tawala wao wataneemeka kupita kiasi!
 
Ukiwa chadema ata akiwa rijali namna gani but akili yake inakuwa kama ya yule anaemchukia mzee wa msonga ati anajidai amepotezewa barafu la moyo wake. shame on you CHADOMO
Hivi wewe unacho kiandika huwa wewe mwenyewe ukisoma unakielewa? Mmawia hebu deal na huyu mtu apate ufahamu kwa kumpa dose kidogo
 
Hii siyo sawa kabisa Mzee mzima na juhudi zote za kuiokoa CCM Leo wanashindwa kumsaidia kulipa mkopa Bank...

Mkuu kumbuka kuwa hao CCM wenyewe wana hali mbaya sana kifedha. Pia Magufuli kawabana mbaya wanafisiem wenzake

Wanaisoma namba wao kwa wao.

Mwache Dr. Mihogo avune alichopanda.
 
Ukiwa na ubongo ulio hai lazima utashangaa kwanini CCM ishindwe kumsaidia mtu aliyewasaidia kukidhohofisha chama chake mwenyewe, Dr Slaa hakuisaliti CHADEMA bali aliamua kusimamia kile anachokiamini.

Waafrika tuna shida kubwa ya kutokuwa na misimamo na ndio maana tumekuwa vigeu vigeu ktk mazungumzo na matendo yetu ya kila siku.

In fact hatujazowea kuwa na wanasiasa wanaosimamia kile wanachokiamini mwanzo mwisho,tumeshazowea uswahili uswahili na kwasababu hiyo basi wengi wenu mlitaka Dr Slaa afanye siasa za kiswahili swahili.

Dr Slaa angekuwa anafanya siasa za namna hiyo toka zamani nadhani CHADEMA wangepotea sana, ilihitajika kiongozi mwenye misimamo kama Dr Slaa kuweza kuivusha CHADEMA salama ktk misuko suko na dhoruba kali za kisiasa ilizokumbana nazo huko nyuma. Ila nyinyi wafuasi wa Mbowe hamuwezi kuyajua haya, very soon you are going to find out what you lost.
We jamaa una akili sana, kula like kiongozi.
 
Hivi wewe unacho kiandika huwa wewe mwenyewe ukisoma unakielewa? Mmawia hebu deal na huyu mtu apate ufahamu kwa kumpa dose kidogo
teh teh Kamanda punguza jazba ..but huyo unaemwita hapa aje kukusaidia hana anachoweza zaidi ya kuharisha tu kama bata mzinga.
 
Nyumba anayo kwa msaada wa mbowe[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
kwa hisani ya ukawa sasa mbona inapigwa bei? kaka mkuu ainunue, yeye ili heshma iwepo

ama LA lumumba waingilie kunusuru asiende kulima mihogo hanang😵😵😵😵 nashangaa mpaka sa hii huyu mzee hajapewa hata ukatibu kata..kwa kazi kuu aliyofanya🙁🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom