Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Nimefurahishwa na neno "aliyekuwa Chadema"
inaonekana chadema iliwapa uwezo wa kukopa na kulipa mikopo yao
kwa mishahara yao,sasa wamejikuna kwenye upele,mishahara imekauka
hakuna namna lazima mali zao ziuzwe madeni ya benki yalipwe,
na wengine wakakope.
Lawama isiwaendee CCM, ila iwaendee wenyewe
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
Hayo ndo madhara ya siasa ....

Pia kama sikosei sijawahi kukutana na mtu alomuhasi Mungu na mambo yake yakamnyookea. Jaribu kulifanyia utafiti hilo
 
Wanacheza na akili zetu, hii nyumba ina link na Mbowe.Dr Slaa anataka kufuta hiyo history na kupigwa mnada ndio njia sahihi.
Pesa ya ccm wanayo nyingi soon wataanza jenga hekalu lao bila kuwa na back up ya Chadema

Hapo kwenye red palijitosheleza,kwenye blue umeshindwa kuficha udhaifu wako.
 
Gwajima alipo sema huyu grand haruki kwa mamsapu, watu wakapaniki na kukaza misuli ya shingo.
Haya sasa ghetto hilo mnadani.
 
Mtu ambaye kashindwa kulipa deni la nyumba angeweza kuendesha nchi?
 
Ina maana miaka yote hiyo alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kupanga?
 
Dr Slaa mwenyewe alishawahi kukiri kuwa nyumba anayoishi alisaidiwa kununua na Mbowe,naona Mbowe kaamua kuchukua nyumba yake;Mbowe una roho mbaya sana yaani umeshindwa kufikiria nguvu za Dr Slaa katika kukikuza chama mpaka umemkomoa kwa kumpokonya nyumba yake?
Kwani Mbowe ndiye aliyemtuma kukopa ?
 
Kumbe Gazeti lenyewe ni lile la Chama? Ukisoma jina la mwandishi utakuta na neno Mwandishi wetu.. Harafu kwa Akili fupi za mleta post eti anafurahi na kushangilia... Vijana wa Ufipa ni Janga ambalo litakitafuna sana Chama.
 
Lawama isiwaendee CCM, ila iwaendee wenyewe
Tuko pamoja,ila ni fundisho zuri,kwamba punda afe ilimradi mzigo ufike
mzigo umeishafika,kifo cha punda inawahusu jiji kupeleka mzoga dampo.

Kwa punda walio hai watachukua hatua wakiona wanataka kutumiwa
kufikisha mizigo.
 
Huo ni utashi wa Dr Slaa mwenyewe, haingii akilini kama kweli alilinunuliwa na CCM how comes ashindwe kulipa deni la nyumba? Je huo mkopo aliuchukua kipindi gani-akiwa kanunuliwa CCM hii juzi au akiwa kwenye harakati za CDM na karatu?

CCM huwa hailipi madeni ya watu hata captain Komba marehemu asset zake zilipigwa mnada mbona hamshangai?

Mbona Machemli aliyekuwa chedema naye nyumba zake zipo sokoni? Mnaionea CCM jamani.
Naomba nikurekebishe Machemli yupo ACT na sio CHADEMA kwa hiyo kama nyumba zake kinapigwa mnada sema aliyegombea Ubunge jimbo la Ukerewe kupitia ACT ndugu machemli Nyumba zake zapigwa mnada usiihusishe CHADEMA hapo.
 
Back
Top Bottom