Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Kwa ujumla wake, hii bi mbinu ya kutakatisha pesa au ya kuibia benki.

Slaa hajashindwa kulipwa mkopo asilani.

Tukumbuke yule mkewe alisema wana mpango kujenga shule.

Connect .....
 
Dr Slaa mwenyewe alishawahi kukiri kuwa nyumba anayoishi alisaidiwa kununua na Mbowe,naona Mbowe kaamua kuchukua nyumba yake;Mbowe una roho mbaya sana yaani umeshindwa kufikiria nguvu za Dr Slaa katika kukikuza chama mpaka umemkomoa kwa kumpokonya nyumba yake?
...wakati ule mna muhonga hamkumuuliza kama ana nyumba? mna dhambi nyie,yani mlikua mnakapeleka peleka tu kazee cha watu..
 
Membe sio FISADI
Bado umebaki kumuunga mkono?ngoja mtofautiane na UVCCM alafu muanze kumtukana.Kama Lowassa Fisadi mwambie Magufuli amtumbue siyo kuwafukuza mliowatetea kipindi cha JK
 
Nadhiri si kitu cha kukiasi pale ukishavikwa hasa katika madaraja ya kiimani/dini. Si vizuri kuhukumu ila historia ya baadhi ya matukio ya kuasi yanaonesha hasa hapa nchini
1453893606835.jpg
1453893706413.jpg
4f3f2e738f65d3d225ba9cc04a3996ef.jpg
1453894005052.jpg
 

Attachments

  • 1453893110003.jpg
    1453893110003.jpg
    39 KB · Views: 55
tukisema JPM ni ukawa tunamaanisha, ona sasa anti ukawa na pro ccm wanavyoisoma namba
 
Dr Slaa mwenyewe alishawahi kukiri kuwa nyumba anayoishi alisaidiwa kununua na Mbowe,naona Mbowe kaamua kuchukua nyumba yake;Mbowe una roho mbaya sana yaani umeshindwa kufikiria nguvu za Dr Slaa katika kukikuza chama mpaka umemkomoa kwa kumpokonya nyumba yake?
Kidume kukosa nyumba miaka yote hiyo wala si kosa la Mbowe.

Mtu ambaye amekosa nyumba hafai hata kuwa kiongozi wa nchi.

Ataongozaje mamilioni kutoka umasikini miaka hii wakati yeye mwenyewe miaka yote hata nyumba hana?
 
Nikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.

Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?

Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?

Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457

Cc: Dr Slaa,
Bila shaka ni jf member
 
Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?

Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?

Moral and Human principle is more than material gain!

Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...

Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!

Kwani Magu ni Msafi? Uuzaji wa nyumba wa serikali hadi kwa wasio watumishi,Umilikishaji wa tenda za Nyumba kwa watumishi wa serikali na kushinikiza halmashauri ya Chato kununua viwanja vyake kwa ajili ya Stand na ripoti ya PPRA kwa kufanya ufisadi wa Kuwalipa makandarasi kwa fidia (10%) na ulipaji hewa wa Milioni 250.
Huu kwako sio ufisadi?
 
watu walioko kwenye ndoa /mahuaiano achana nao pengine aliona dalili za kuachana na mkewe akachukua limkopo makusudi akaiweka nyumba rehani nakujifanya kashindwa kulipa deni ili bank waiuze yaishe
 
Dhambi ya usaliti ITAKUANDAMA TU HADI PALE UTAKAPOKIRI NA KUOMBA MSAMAHA....
 
Back
Top Bottom