Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,982
Maisha hayana fomula,
Linatofauti gani na waliobomolewa nyumba zao mkwajuni tena bila usalitiPamoja na usaliti wake lakini jambo kama hilo sio la kushangilia hata kidogo.
Moyo safi tokea lini?. Ujui alikimbia upadri na kuvunja nadhiri?. Usaliti mbaya sana.Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?
Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?
Moral and Human principle is more than material gain!
Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...
Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
Gazeti la CHADEMA hiliNikiwa nasikiliza Habari za magazetini asubuhi hii nimesikia Nyumba ya aliyekuwa katibu wangu Nyumba yake imeuzwa kwa mnada baada ya kuchukua Mkopo.
Nikajiuliza, ina manaa walikuwa wakimchukulia ndege special kutoka South Africa kipindi cha kampeni na kumlipia gharama kubwa hotelini na Ulinzi mkubwa, Leo wanashindwa kumlipia deni mpaka Nyumba inauzwa?
Ina maana pesa zote zimeisha au wamemrusha?
Ushauri wangu kwa Dr. Slaa, awaombe msamaha wana-Chadema na nina uhakika wataunganisha nguvu kuokoa jahazi.
View attachment 319457
😀Dah nakumbuka maneno ya yesu baada ya kusalitiwa yuda. Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haiwezekani loh mara serena hotel mara kulipia press mara usalama wa taifa, mara kwenda kupumzika ulaya, mara what what. Wako wapi lumumba fc mkamkodishie serena hotel akaishi walau mwaka moja.
Ahaaaaaaaaaaaaa ile video ya lisu, alitwambia kila kitu ni cha cdm iwe gari na vinginevyo sasa yamemfika shingoni. Jamani usalti ni dhambi mbayaaaa. Hongera sana dr mihogo.
CCM mabingwa wa utapeli washamuingiza mjini tayari [emoji31] [emoji31] [emoji31]kwa hisani ya ukawa sasa mbona inapigwa bei? kaka mkuu ainunu yeye ili heshma iwepo
ama lumumba waingilie kati nashangaa mpaka sa hii huyu mzee hajapewa hata ukatibu kata..ka kazi kuu aliyofanya🙁🙁🙁🙁🙁
Yuko USA anasoma short coz japo akirudi bongo atafute ajira japo hapate pesa ya Chai na mihogo😀View attachment 319500
wakishakutumia wanakutupa kama toilate paper akalime mihogo kwanza yuko wapi huyu x pastor
Ukiwa na ubongo ulio hai lazima utashangaa kwanini CCM ishindwe kumsaidia mtu aliyewasaidia kukidhohofisha chama chake mwenyewe, Dr Slaa hakuisaliti CHADEMA bali aliamua kusimamia kile anachokiamini.
Waafrika tuna shida kubwa ya kutokuwa na misimamo na ndio maana tumekuwa vigeu vigeu ktk mazungumzo na matendo yetu ya kila siku.
In fact hatujazowea kuwa na wanasiasa wanaosimamia kile wanachokiamini mwanzo mwisho,tumeshazowea uswahili uswahili na kwasababu hiyo basi wengi wenu mlitaka Dr Slaa afanye siasa za kiswahili swahili.
Dr Slaa angekuwa anafanya siasa za namna hiyo toka zamani nadhani CHADEMA wangepotea sana, ilihitajika kiongozi mwenye misimamo kama Dr Slaa kuweza kuivusha CHADEMA salama ktk misuko suko na dhoruba kali za kisiasa ilizokumbana nazo huko nyuma. Ila nyinyi wafuasi wa Mbowe hamuwezi kuyajua haya, very soon you are going to find out what you lost.
Nimefurahishwa na neno "aliyekuwa Chadema"Huo ni utashi wa Dr Slaa mwenyewe, haingii akilini kama kweli alilinunuliwa na CCM how comes ashindwe kulipa deni la nyumba? Je huo mkopo aliuchukua kipindi gani-akiwa kanunuliwa CCM hii juzi au akiwa kwenye harakati za CDM na karatu?
CCM huwa hailipi madeni ya watu hata captain Komba marehemu asset zake zilipigwa mnada mbona hamshangai?
Mbona Machemli aliyekuwa chedema naye nyumba zake zipo sokoni? Mnaionea CCM jamani.
Hayo maswali unamuuliza nani!?Linatofauti gani na waliobomolewa nyumba zao mkwajuni tena bila usaliti
wowote na watu wanacheka na kushangilia?
Wala si usanii ni laana ya Gwajimmma,alimwita babaAnafanya usanii tu kutaka kutupumbaza watz hatutaongopeka this time...! They have money and they can pay off the loan. Shida moja ambayo hakuijua huyu bwana kaangalia teuzi zote hajaona jina lake akaanza usanii wa kutaka kurudi chadema, kwa ufupi mke hamfai hata kidogo, she is a bad influence. Kaa huko huko Ule mipesa ya usaliti. Tumeshakifuta kwenye history ya nchii