city bookstore
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 434
- 1,176
Ndio man 😂Kwa hiyo umeingia mitini?
Ndio man 😂Kwa hiyo umeingia mitini?
🙏🙏🙏Kaka MShana, kwanza shukrani 🙏 huwa unatupatia madini sana.
Hapa nimesoma maneno yakaniingia mpaka ndani. Ni kweli wanaume wengi wanakufa taratibu kwa heartaches na kukosa pa kusemea yale wanayoyapitia.
Huwa nawaangalia watoto wangu wa kiume, najisikia huzuni maana najua mizigo inayowasubiri kuibeba watakapokua watu wazima.
Kama jamii na pia sisi wanawake, kuna haja ya kujirekebisha.
Dah...Kaka huyo wako hatosubiri ufike uzeeni ili atoe uhai wako, atakuwinda humo kwenye 40-43😂😂😂Kaka bora usome tu mimi kuna vioja hatari kwanza kaniambia hampendi sister wangu na anamchukia
Nyie huwa mnalia weee halafu mkifuta machoz tu mnaanza mikakati ya kututoa uhai😂Mbona wanaume na nyie mnanyanyasa wake zenu, mkiwa na pesa mnaongeza wanawake wengine..!!
Vipi hili mbona hamlisemehi au maumivu mmeumbiwa peke yenu??
Kumbe ushajua chanzo cha kutolewa uhai 😹😹😹Nyie huwa mnalia weee halafu mkifuta machoz tu mnaanza mikakati ya kututoa uhai😂
Hapa mada kuu n hii tabia ya kututoa uhai
Hiyo ni mingi sana.. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Ilimkuta marehemu baba yangu mbele ya macho yangu, imenifanya niwaangalie mama zetu kwa jicho lingine,tena baya!Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Hapa usipokuwa makini, kisukari,presha,msongo wa mawazo n.k vitakuandama!Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
Hujachelewa mkuu sitisha muamalaDah Jana tu ndo nimetoka kupeleka barua ya uchumba sehemu na kitangulizi cha mahali..... (True story)
Halafu Leo post ya kwanza nakutana na hii🥺
Mpaka nafsi imekufa ganzi
Kaka Mungu ni mwema naona ananiepusha na mengi ngoja tuone maisha yatakavyokua ila sasa Sina mpango wa kuendelea na hatua yotote bora nikae nitulieDah...Kaka huyo wako hatosubiri ufike uzeeni ili atoe uhai wako, atakuwinda humo kwenye 40-43😂😂😂
Kama ameanza kasheshe sahv siku unayoenda kumalizia mahali jitahidi uanze kupatana na Mungu mapema ili kikihappen uwe na makao mema✍️
Mpishano mzuri ni wa miaka mingapi?Yes, yote kweli.
Wachache wanavumilia.
Mkome kuoa watu mmepishana sana umri.
Ila hilo la ukifilisika aise ni kipengele
Mpishano mzuri ni wa miaka mingapi?Oa mtu mtakayezeeka pamoja, upo 40 unaoa binti ana 18, ukifika 60 mwenzako bado mbichi kabisa ndio analitaka tango huku wewe umechoka.
Swala la kuyumba kiuchumi halina kuepukwa, yoyote anaweza kuyumba tu. Ila ukiweka kahaba ndani ya ndoa umekwisha.
Msanii yupo sahihi, maneno ya kweli kabisa.
Hauna haja ya kuogopa. Hakikisha tu ni mtu sahihi, don't ignore the red flags.Dah Jana tu ndo nimetoka kupeleka barua ya uchumba sehemu na kitangulizi cha mahali..... (True story)
Halafu Leo post ya kwanza nakutana na hii🥺
Mpaka nafsi imekufa ganzi
Kabisa hata makofi wanashindwa kupiga.Jitafakarini wapi mnakosea maana mwanamke ni kiumbe ambacho mnaweza kukicontrol vizuri Tu na kikawa vile unavyotaka wewe!
Sa cjui mnafeli wapi...poleni Sana aisee
Ila nikwambie kitu brother! NDOA HAIEPUKIKI..Utaikimbia wee lakini mwisho utanasa kwenye ulimbo wakeBrother Mshana Jr asante kwa tafakuri. Japo Sisi tunaokataa NDOA huwa mnatuona kama tuna matatizo lakini ukweli ni kwamba wengine tulikaa chini na kufanya upembuzi yakinifu kuhusu NDOA tukaona hakika hatuwezi abadani
Hoja ya hovyo kabisa hii!!!tatizo pia wengi hawaishi maisha ya Kikristo, sijawahi kukutana na familia inayoishi Kikristo ikawa na shida kwenye ndoa na kifamilia yao.
hivyo tatizo la tanzagiza ni mila, wengi wanajiita Christian lkn hawaishi Christian life bali wanafwafa mila zao na hapo ndipo mateso yalipo bila ya kumkubali na kuishi Kristo ni tabu na mateso tu …
Mkuu umenielimisha vyema sana kupitia nukuu yangu.Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii
Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear
Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume
1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi
Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!
2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu
Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!
Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.
Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa
Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni
Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii
For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Ufafanuzi, kupishana umri kunaleta shida gani?Yes, yote kweli.
Wachache wanavumilia.
Mkome kuoa watu mmepishana sana umri.
Ila hilo la ukifilisika aise ni kipengele