Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

27+ wanakuwa wamepitia trauma nyingi sana kwenye mahusiano. Hawa kuna wakati hakupendi ila anataka ndoa tu

Ukinunua gari used wewe mmiliki mpya ndio utawajibika kulipia gharama za uharibifu uliofanywa na wamiliki waliopita wa gari hilo

Ni rahisi kum-shape mwanamke ambaye hajapitia trauma za hovyo (18-25)
​
Naam nakubaliana na Hilo body count inasoma wanaume 50 so unadhani Kuna kipi utamfanyia akaridhika ..kwanza mkikutana kwenye sex tayari anaanza kuku- compare na baadhi ya wanaume kibao alizowahi kuwa nao so suala la kumridhisha lazima iwe Mtihani
 
Hivi kweli kuna mwanaume anakuwa mwema kwa mkewe kisha alipwe dharau, masimango nk kweli!!! Hii mimi nakataa, sema wanaume manjisahau sanaaa. Hata humu kutwa kucha kujisifia ujinga, mkidhani wenzenu mioyo yao ya chuma. Siku yakiwageuka saaaaasa🙆‍♂️
 
Naam nakubaliana na Hilo body count inasoma wanaume 50 so unadhani Kuna kipi utamfanyia akaridhika ..kwanza mkikutana kwenye sex tayari anaanza kuku- compare na baadhi ya wanaume kibao alizowahi kuwa nao so suala la kumridhisha lazima iwe Mtihani
Umesema vyema, baba zetu walioa mama zetu wakiwa young and fresh

Hawakuwa na hizi pigo za kutafuta maturity kwa mama zetu.

Wakawamold wakawa mama zetu wazuri na wapendwa

Leo tumekua tunaacha misingi waliyotuwekea baba zetu tunaoa midada age go, eti maturity! Tutateseka sana

Angalia washua ndoa zao zinavyodumu mpaka raha licha ya changamoto coz hakuna perfect marriage

Miaka hii wanaojinadi wanaoa mature enough milf age 27+ mwenye kigezo cha degree au masters wanajionea ndoa zinafeli

Kikweli wanawake huwa hawana maturity wao wanazeeka tu

Ndio maana haishangazi mtoto mkubwa wa kiume akawa mshauri wa mama yake baba asipokuwepo

Mwanaume mmoja mlevi ni bora kuliko wanawake 100 wenye masters au PhD
 
Jitafakarini wapi mnakosea maana mwanamke ni kiumbe ambacho mnaweza kukicontrol vizuri Tu na kikawa vile unavyotaka wewe!
Sa cjui mnafeli wapi...poleni Sana aisee
Sio wa sasa, mind zenu zinekuwa completely poluted,yaani huwezi repair. Wachache sana tena wale ambao ni bikra au wana low body counts. Kwani wengi wenu mna experience zenu mlizipata kwenye mahusiano ya nyuma na mnataka huyo uliye naye zote azi-implement/awe nazo zote.

Hamna nidhamu, hamna heshima,hamiskii sio wavumilivu.
 
Wanaume wengi tunabidi tubadili vipaumbele vyetu kwenye maisha ya starehe na furaha. Mfano ukiangalia wanaume wengi sana walio kwenye ndoa sehemu kuu ya starehe yao ni bar wakiwa wenyewe ama na marafiki zao huku mke na watoto wakiwa wamelala nyumbani.

Hapo kuna jambo kubwa sana linapotea katika familia ya hivi, hawa watu ni ngumu kuwa na bond, jiulize kwa kipindi cha miaka hii tano ni lini umetoka out ba familia yako mkafurahi?, linganisha na mara ulizotoka kwenda bar kukaa na washkaji. Alafu tafakari.

Wanawake wengi huwa hata asipokuwa anakuuliza jua anahifadhi hayo mambo anajiapiza na kusema ngoja ufilisike au uishiwe hizo pesa au ustaafu ndio utamkoma, na kweli wanaume wengi hali hizo zikiwapata wanajikuta wapo wenyewe wanaanza kulalamika kutengwa na wake na watoto wao.

Maisha ya familia ni zaidi ya kuwalisha na kuwavisha hao mke na watoto wako, hakikisha ni chini ya 30% ya starehe na muda wa furaha unaufanya mwenyewe au na marafiki ila zaidi ya 70% fanya na familia yako, hautajuta.

Wengi watasema bar ndipo tunapopata ramani za michongo, ila ukikaa na kutafakari vizuri hii sio kweli kwa wengi. Tujitafakari sana wakuu.

Mwisho, wanaume wengi wanaoteseka ndani ya ndoa zao ni wao wamejitakia kwa kiasi kikubwa ama kwa kuoa kwa mihemko, ama kupuuza familia zao ama kwa kuwa wabinafsi ama kwa usaliti kwa kigezo cha urijali na vitu kama hivyo.

Tubadilike wakuu, hatuwezi ishi dunia ya leo kwa mifumo waliyoishi wazee wetu wa 1960s.
Umemaliza kila kitu. Uzi ufungwe!!!!
 
Umesema vyema, baba zetu walioa mama zetu wakiwa young and fresh

Hawakuwa na hizi pigo za kutafuta maturity kwa mama zetu.

Wakawamold wakawa mama zetu wazuri na wapendwa

Leo tumekua tunaacha misingi waliyotuwekea baba zetu tunaoa midada age go, eti maturity! Tutateseka sana

Angalia washua ndoa zao zinavyodumu mpaka raha licha ya changamoto coz hakuna perfect marriage

Miaka hii wanaojinadi wanaoa mature enough milf age 27+ mwenye kigezo cha degree au masters wanajionea ndoa zinafeli

Kikweli wanawake huwa hawana maturity wao wanazeeka tu

Ndio maana haishangazi mtoto mkubwa wa kiume akawa mshauri wa mama yake baba asipokuwepo

Mwanaume mmoja mlevi ni bora kuliko wanawake 100 wenye masters au PhD

Umesema vyema, baba zetu walioa mama zetu wakiwa young and fresh

Hawakuwa na hizi pigo za kutafuta maturity kwa mama zetu.

Wakawamold wakawa mama zetu wazuri na wapendwa

Leo tumekua tunaacha misingi waliyotuwekea baba zetu tunaoa midada age go, eti maturity! Tutateseka sana

Angalia washua ndoa zao zinavyodumu mpaka raha licha ya changamoto coz hakuna perfect marriage

Miaka hii wanaojinadi wanaoa mature enough milf age 27+ mwenye kigezo cha degree au masters wanajionea ndoa zinafeli

Kikweli wanawake huwa hawana maturity wao wanazeeka tu

Ndio maana haishangazi mtoto mkubwa wa kiume akawa mshauri wa mama yake baba asipokuwepo

Mwanaume mmoja mlevi ni bora kuliko wanawake 100 wenye masters au PhD
Kwa kweli Upo sahihi kabisa 💯
 
Maisha ya mwanaume mara nyingi ni kama mfano wa kopo la chooni......ni agharabu sana kuthaminiwa baada ya matumizi bali wengi hutendwa vibaya baada ya kutimia kwa makusudio........

Na unyama mwingi kwenye hayo upo kwenye gereza la ndoa ambapo kwa nyakati hizi ni agharabu kumpa mwenza mwema mwenye kuhifadhi na kuweka kumbu kumbu ya fadhila vifuani mwao.........

Mwanaume unaweza kujitahidi kuyabeba majukumu kwa kadri ya uwezo wako lakini ni nadra sana kunufaika na jitihada hizo zaidi ya dhihaka, kejeli na madharau kutoka kwa wale uliotumia muda wako mwingi kuwapambania!!!

Kwa kweli dunia ni nzito kwa mwanaume.....dunia ni kambi ya mateso kwa mwanaume!!

Mungu awajaalie na kuwabariki wenza na wake wote wanaotambua, kuthamini na kuuenzi wema, mchango na juhudi za waume zao!!!!
Mkuu umenena kwa uzito mkubwa sana mkuu.
 
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii

Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear

Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume

1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu

Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi

Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..

Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!

2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu

Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!

Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.

Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa

Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni

Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii

For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Uzi wake unafunzo kubwa sana Mungu atusaidie
 
Aliyechukuaga akili za wanawake azirudishe. Au mjerumani aliondoka nazo baada ya kushindwa WWI?
 
Wanaume tuishi kama Wamasai na Wasukuma, wale Wasukuma na Wamsai wa vijijini. Katika jamii hizo, mwanaume hana expectations zozote kwa mwanamke zaidi ya watoto na mbususu.
Haya maisha ya mjini ya kudhani mwanamke anakupenda, atakujali, atakusaidia majukumu, yatatuua mapema.
 
Bro angu haya maisha ukitaka uipate furaha kupitia mtu mwengine utateseka sana, kwa sababu hata kama unaitafuta fur furaha yako kwenye ndoa kuwa na tahadhari, kwa sisi waislamu ndoa sio kifungo cha maisha mukishindwana munatemana maisha yaendelee, binaadamu hakuna mkamilifu muhimu tengeneza furaha yako bila kumtegemea mtu au kitu chochote, kama alivyoimba BANANA ZORO "Shida haziishi usisahau kuishi"
 
Ukweli mchungu ni kwamba Wanaume wengi hawafi kwa ajali wala magonjwa wala vita. Wanaume wengi wanakufa kwa msongo wa mawazo, ukimya, na presha ya maisha.

Mwanaume haambiwi pole, haambiwi utashinda, haambiwi jipumzishe kwanza badala yake, kila mtu anamuangalia kama kiwanda cha miujiza – cha kutoa pesa, upendo, msaada, faraja, na subira bila kuchoka.

Anapoamka asubuhi, anawaza:
“Leo watoto wale nini, Leo watoto watatibiwa vipi, Niwapelekee nini wazazi, Kodi ya nyumba imeisha, umeme umeisha, nina kiatu kimoja nacho kimechakaa

Lakini bado atavaa tabasamu.
Ataandika "good morning" status.
Ataambia watu, “tuko vizuri tunaendelea vizuri "

Hawajui kwamba mwanaume huyu usiku analala kitandani lakini hapati usingizi, akiwaza kesho itakuwaje. Anaota ndoto ambazo hazitimii. Anavuta pumzi nzito lakini hakuna anayemsikiliza. Ataomba ushauri, atadharauliwa. Ataomba msaada, ataambiwa “we si mwanaume wa kweli, jikaze mwanaume, mwanaume ni kupambana.

Na mbaya zaidi...
Wanaume wengi wanajitahidi sana kwa wanawake ambao hata hawathamini wala kutambua mchango wao. Wanatoa kila walichonacho kwa mtu ambaye hayuko tayari hata kumshika mkono wakati anadidimia.

Mwanaume anapokata tamaa, halii. Ananyamaza. Akinyamaza – anaumia. Akiumia sana –anapata msongo wa mawazo, anaanza kufa kidogo kidogo tena anakufa kimya kimya.

Hebu leo hata kama bado mwanaume wako hajafanikiwa, msalimie mwanaume kwa upendo. Muambie unathamini sana juhudi zake na unautambua mchango wake. Mtie moyo, msaidie hata kwa neno. Usingoje afe ndio umwite “shujaa”.

Mwenyekiti nasisitiza tena, Mheshimu sana mwanaume wako, wanaume wanapitia magumu mengi sana katika maisha. Tunaelewana lakini?
View attachment 3445807
Dahh inaumiza hii😥
 
Back
Top Bottom