Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

Dah Jana tu ndo nimetoka kupeleka barua ya uchumba sehemu na kitangulizi cha mahali..... (True story)
Halafu Leo post ya kwanza nakutana na hii🥺

Mpaka nafsi imekufa ganzi
🤣🤣🤣
 
Tunakosa la kusema kwa sababu wengine tunahudumiwa na kujaliwa vyema na waume zetu ndani lakini tumekosa shukrani,na wengine hatujaliwi kabisa na wanaume na bado hao waume wamekosa shukrani.Marriage is scam thing!
Indeed
 
50/50 hata mimi hapana pia tukiangalia mfumo wa uoaji kweli ulikuwa ni mzuri hadi leo ila sasa ishu ya kuiepuka au kuitafakari ni namna ya kuishi na familia zetu.

Zamani baba alikuwa sio mtu wakumfikia kiurahisi, zamani baba alikuwa anakula vizuri kuliko watu wote ndani ya familia na zamani baba alikuwa lazima achelewe sana kurudi nyumbani. Ni hii mitindo ya maisha ndio naona ni vema kuachana nayo.

Dunia yetu imejaa taarifa na zinapatikana kwa haraka sana tofauti na dunia ya enzi za wazee wetu.

Ila mwanaume hadi kesho ni lazima uwe mtu unayeweza kutegemewa na familia sio hata kubadili taa ndani hawezi au hata kufungua tairi ya gari hawezi hadi aite fundi. Au kurekebisha baiskeli ya mtoto pancha au chain hawezi hadi aje fundi. Wanawake huwa wana notice hivyo vitu vidogo vidogo ndio maana mwisho wa siku unakuta mke wa boss analiwa na fundi anayerekebishaga baiskeli ya mtoto.

Kifupi mwanaume anapaswa kuwa na ujuzi au utundu wa vitu vingi vidogo vidogo na ashiriki kufanya kazi za mikono na familia yake au hata mtoto wake ili kujenga bond na kuhamisha maarifa (na ndio kazi kubwa nyingine ya mwanaume kutengeneza kizazi kijacho)
🔥🔥💯💯✍️
 
Fact fact fact
Mkuu unatema madini sana aisee, kuna namna umemuelezea baba wa kizaman hapo juu dah imenibidi nicheke kwanza, washua walikua na umwinyi sana
Aisee nimeona Hilo Ukali kupitiliza kukosekana Kwa bond baina ya watoto na Mzee me
 
Kama ambavyo mgumba havumikiki ndani ya ndoa, either atatimuliwa au kuletewa mke wa pili ndivyo hivyo hivyo mume asiye na pesa havumiki.
Dunia imejua kubalance mambo...
🤣🤣
 
Top thread 🔥🔥🔥

Kuna vitu vingi vya kujifunza Inshort ndoa au mahusiano yoyote Yale katika maisha sio Lele , Tumewahi kuwa na marafiki tuliokuwa tuna wapenda sana na wakatusaliti , Tumewahi kuwa na ndugu tulio wapenda kuwajali na kuwaheshimu sana lakini wakatulipa kinyume chake

Hivyo basi inatupasa tufahamu kwamba Suala la mahusiano sio kitu Cha mchezo mchezo ni kitu kigumu sana , Inatupasa tujitahidi sana kutafuta Watu sahihi wakuwa pamoja nao na kushirikiana nao katika maisha yetu lakini wakati huo huo tukiwa tuna Tambua kwamba hata hao watu sahihi pia tutakao wachagua huwenda baadhi Yao Kuna siku Moja wanaweza kuja kubadilika maana maisha Yana desturi ya kuwabadilisha viumbe kutokana na mazingira === Mfano dogo tu ni huu paka anaelelewa vizuri ndani ya nyumba Ukimchukua na kumtelekeza mtaani Kwa muda wa miezi mitatu then ukamrudisha nyumbani kwako hawezi kuwa na tabia sawa na zile alizo kuwa nazo hapo Awali

Lazima atakuwa amesha jifunza wizi + udokozi + Ukorofi , Nina maana kwamba viumbe Huwa tuna badilika Kwa maana Kwa kuwa viumbe Huwa vina badilika basi yatupasa tujitahidi sana kuyaachilia mambo yaende zake pindi mambo hayo yanapo Amua kwenda kombo kitendo Cha kuendelea kuya ng'ang'ania hayo mambo it means unajaribu kuruhusu na wewe kwenda kombo na mambo hayo , Ndio maana Wakasema mambo yakienda kombo na wewe usiende ,

Sote tunajua kwamba sio kitu rahisi kuweza kuchukua maamuzi kama hayo lakini Kuna wakati ni vyema kuchukua maamuzi magumu yanye kukuumiza Ili uweze kuyaponya maisha yako hapo baadae

Jambo lingine la muhimu na la msingi katika maisha Tunapo kuwa na wenza wetu Inatupasa tujitahidi sana kuwa wema kwao , sometimes matendo yetu mabaya ndio yanayo kuwa kibwagizo Cha kuwa fanya wale waliokuwa wema kwetu wanadilike na wao kuanza kuwa wabaya

Ifahamike ya kwamba binaadamu Unapokua una mkandamiza sana Ipo siku lazima atachoka na kugeuka kuwa adui yako , So unapo tokea Dunia ikatupatia mwenza Aliye Bora tunapaswa kuhakikisha tuna pambana kumlinda mwenza huyo Kwa wivu mkubwa tena wa hali ya juu Kwa muonyesha mapenzi umoja mshikamano ili kumfanya asijutie katika maisha yake Wanaume Tunahitaji sana faraja lakini Kuna wakati na sisi Huwa tuna zingua ktk ndoa zetu au mahusiano yetu Unakuta mtu ana pata a good wife material lakini ana msulubu Kwa kumpiga matukio mazito mazito + umalaya do you think huyu mtu ataendelea kuwa vile vile !?

Wanaume tujitahidi kutafuta wanawake sahihi wenye upendo wa kweli na sisi Kisha tuhakikishe tuna walinda wasiweze kubadilika ,

Ila nakubaliana pia na mtoa mada kwamba wanaume Duniani ni mateso kuhangaika , Kwa kweli inatisha
 
Nachoona kataa ndoa wapo SAHIHI wnawake wanaojitambua ni wachache sana .

Mimi mzee aliwahi kupitia hali Kama hiii ya kuchukuliwa kawaida na familia kisa he was broke . ila kwakuwa Mungu sio Juma and bad time never last kwa sasa Ana 68YRS ILA AMERUDI UTOTONI KWKAUWA ANAPATA KILA KITU ANACHOHITAJI KWA wakati .

UTU wanawake hawana most women
 
Wanawake sahihi hawapo mkuu if you have nothing to bring on the table no friends anymore
 
Naam exactly rate Yao ya ubinafsi ni kubwa sana ,

Kataa ndoa wapo sahihi ila ndio hivyo maisha hayana formula, wengi tuko hivi tulivyo Leo kutokana na mifumo ya maisha tuliyo rithishwa ktk jamii
 
100%
 
Wanawake sahihi hawapo mkuu if you have nothing to bring on the table no friends anymore
Wapo ila ni wachache sana tukubaliane hapo kwanza ,

Mimi nimewahi kuwa broke na nikaishi ktk mahusiano ambayo mwanamke ndiye anaye support michongo yangu , ila kiuhalisia ni wachache

And I second you, Mimi nimekulia ktk mitaa ya watu wabishi like kinondoni magomeni and the likes watoto wengi wa mitaa hiyo wajanja tuna principal Moja Tunapo date na mwanamke kwanza Huwa tuna mpima Kwa kumlia pesa zake ili umuone Je nimtu Wanamna Gani

Mfano Unajifanya huna pesa ya Kodi una mwambia naomba laki tano Nina shida Na mambo yenye mfano na hayo then unacheck response yake ,
Yaani Huwa tunafanya hizo trick hata kama tunahela tunajifanya hatuna sometimes ili uone Mwanamke uliye Nae ni mtu wa namna Gani na nimekula sana Hela za watoto wa kike mwanamke akikupenda Kula pesa zake ni kitu simple sana tena sana

Tatizo wengi wenu humu hata tunaposoma michango yenu Huwa Tunawaona kwanza mnahubiri kutanguliza pesa kwanza Kwa wanawake badala ya Kutengeneza bond first 🤣🤣🤣

Mwisho wa siku ni kwamba mwanamke ni kweli utampata lakini upendo wake utakuwa kwenye wallet yako Au account yako ya Bank ila moyo wake utakua Kwa mwanaume mwingine ambaye amefaulu kutengeneza bond Nae.

But apart from that Bado nakubali kwamba wanawake ni viumbe wenye changamoto sana unapaswa kuwa smart to handle them
 
Okay hongera ila Issue inakuja ktk Consistence kukupa 1M je ukiwa broke mwaka mzima ataweza?
 
Top thread 🔥🔥🔥

Kuna vitu vingi vya kujifunza Inshort ndoa au mahusiano yoyote Yale katika maisha sio Lele , Tumewahi kuwa na marafiki tuliokuwa tuna wapenda sana na wakatusaliti , Tumewahi kuwa na ndugu tulio wapenda kuwajali na kuwaheshimu sana lakini wakatulipa kinyume chake

Hivyo basi inatupasa tufahamu kwamba Suala la mahusiano sio kitu Cha mchezo mchezo ni kitu kigumu sana , Inatupasa tujitahidi sana kutafuta Watu sahihi wakuwa pamoja nao na kushirikiana nao katika maisha yetu lakini wakati huo huo tukiwa tuna Tambua kwamba hata hao watu sahihi pia tutakao wachagua huwenda baadhi Yao Kuna siku Moja wanaweza kuja kubadilika maana maisha Yana desturi ya kuwabadilisha viumbe kutokana na mazingira === Mfano dogo tu ni huu paka anaelelewa vizuri ndani ya nyumba Ukimchukua na kumtelekeza mtaani Kwa muda wa miezi mitatu then ukamrudisha nyumbani kwako hawezi kuwa na tabia sawa na zile alizo kuwa nazo hapo Awali

Lazima atakuwa amesha jifunza wizi + udokozi + Ukorofi , Nina maana kwamba viumbe Huwa tuna badilika Kwa maana Kwa kuwa viumbe Huwa vina badilika basi yatupasa tujitahidi sana kuyaachilia mambo yaende zake pindi mambo hayo yanapo Amua kwenda kombo kitendo Cha kuendelea kuya ng'ang'ania hayo mambo it means unajaribu kuruhusu na wewe kwenda kombo na mambo hayo , Ndio maana Wakasema mambo yakienda kombo na wewe usiende ,

Sote tunajua kwamba sio kitu rahisi kuweza kuchukua maamuzi kama hayo lakini Kuna wakati ni vyema kuchukua maamuzi magumu yanye kukuumiza Ili uweze kuyaponya maisha yako hapo baadae

Jambo lingine la muhimu na la msingi katika maisha Tunapo kuwa na wenza wetu Inatupasa tujitahidi sana kuwa wema kwao , sometimes matendo yetu mabaya ndio yanayo kuwa kibwagizo Cha kuwa fanya wale waliokuwa wema kwetu wanadilike na wao kuanza kuwa wabaya

Ifahamike ya kwamba binaadamu Unapokua una mkandamiza sana Ipo siku lazima atachoka na kugeuka kuwa adui yako , So unapo tokea Dunia ikatupatia mwenza Aliye Bora tunapaswa kuhakikisha tuna pambana kumlinda mwenza huyo Kwa wivu mkubwa tena wa hali ya juu Kwa muonyesha mapenzi umoja mshikamano ili kumfanya asijutie katika maisha yake Wanaume Tunahitaji sana faraja lakini Kuna wakati na sisi Huwa tuna zingua ktk ndoa zetu au mahusiano yetu Unakuta mtu ana pata a good wife material lakini ana msulubu Kwa kumpiga matukio mazito mazito + umalaya do you think huyu mtu ataendelea kuwa vile vile !?

Wanaume tujitahidi kutafuta wanawake sahihi wenye upendo wa kweli na sisi Kisha tuhakikishe tuna walinda wasiweze kubadilika ,

Ila nakubaliana pia na mtoa mada kwamba wanaume Duniani ni mateso kuhangaika , Kwa kweli inatisha
Wanaume tujitahidi kutafuta wanawake sahihi wenye upendo wa kweli na sisi Kisha tuhakikishe tuna walinda wasiweze kubadilika ,

Ila nakubaliana pia na mtoa mada kwamba wanaume Duniani ni mateso kuhangaika , Kwa kweli inatisha📌🔨
 
Dah Jana tu ndo nimetoka kupeleka barua ya uchumba sehemu na kitangulizi cha mahali..... (True story)
Halafu Leo post ya kwanza nakutana na hii🥺

Mpaka nafsi imekufa ganzi
Acha unafiki. Kwamba ndio umejiunga hapa jukwaan leo au? Haya mambo yanaongelewa daily hapa
 
Back
Top Bottom