Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

Ila mkuu ukiwa umeshakosea umepata Mwanamke ambaye sio sahihi na umeligundua hili jambo tayari muda umeenda na umeshafika labda 40 yrs na kuendela na una watoto

Je nini MTU afanye ?

Mshana Jr
Hapo watoto ndio faraja yako.. Hao ndio watakuwa nawe uzeeni kama sio wote at least mmoja wao.. Wekeza kwao kiuchumi, kielimu na kijamiii
At the age of 50 huhitajiki tenant kuhangaika na mahusiano kaka mzee Mengi utakufa siku si zako! Kuna umri ukifika moyo hautamani kupenda tena! USIKILIZE!
 
Acha unafiki. Kwamba ndio umejiunga hapa jukwaan leo au? Haya mambo yanaongelewa daily hapa
Sio unafiq ndugu. Attention hupanda sana na confidence kushuka pindi unapoliendea jambo jipya kwa vitendo!!
Kusoma ili umalize sio sawa na kusoma ili utende.... ndio sababu hata msomi mwenye degree akilala na Malaya mwenye tetesi za kuathirika... baada ya hilo tukio utamkuta anauliza google "Signs of HIV😂
anasahau kabisa kuwa alizisoma akiwa O level

Kwahyo mafunzo ya self defense wakati wa amani sio sawa na short course ya kukwepa ngumi wakati wa vita✍️
Level of attention ndio kila kitu
 
Ahahahah..kwel lakini!!
 
Hapo watoto ndio faraja yako.. Hao ndio watakuwa nawe uzeeni kama sio wote at least mmoja wao.. Wekeza kwao kiuchumi, kielimu na kijamiii
At the age of 50 huhitajiki tenant kuhangaika na mahusiano kaka mzee Mengi utakufa siku si zako! Kuna umri ukifika moyo hautamani kupenda tena! USIKILIZE!
👊🏼🙏🏽
 
Wanaume tujitahidi kutafuta wanawake sahihi wenye upendo wa kweli na sisi Kisha tuhakikishe tuna walinda wasiweze kubadilika ,

Ila nakubaliana pia na mtoa mada kwamba wanaume Duniani ni mateso kuhangaika , Kwa kweli inatisha📌🔨
🔥🔥💯
 
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii

Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear

Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume

1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu

Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi

Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..

Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!

2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu

Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!

Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.

Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa

Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni

Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii

For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
Ukiishiwa kipato mwezi mmoja tu unaanza kuupata uhalisia wa mke wako kwa body language.

Mapenzi na ndoa ni mchezo wa hovyo sana kuwahi kugunduliwa na binadamu.
 
Ndoa inahitaji sana maombi,ila pia usiishi na wanawake wetu hawa wa kiswahili kizungu,wakati mwingine tumia nguvu zako ili aone kuwa anaishi na mwanume anayejielewa,kumbuka huko kwao alikuwa akikosea anachapwa mpaka na bakora,eti kaja kwako anafanya upumbavu unaongea kichinichini...
 
Unazungumziaje kuhusu Age gape kubwa baina ya mume na mke !?
Age gap isizidi miaka 10 kama ni kufunga ndoa muwe mume na mke

Lakini kinachoamua zaidi ni aina ya mwanamke uliyemweka ndani kuna watu wana age gap ndogo au kubwa lakini ndani kunafurukuta hakuna amani

Ila ogopa sana mwanamke mwenye age 27+ bado yuko single
​
 
🤣🤣 Age 27 Bado Yuko single!!! Kwanini mkuu ,!?

Anyway lakini as all we know maisha sisi Kuna wakati tunapanga lakini fate Ina amua , so what if imetokea Mtu Kaoa mwanamke ambaye ni decent but kampita miaka zaidi ya 10 , Hapo panaubaya Gani !?
 
🤣🤣 Age 27 Bado Yuko single!!! Kwanini mkuu ,!?
27+ wanakuwa wamepitia trauma nyingi sana kwenye mahusiano. Hawa kuna wakati hakupendi ila anataka ndoa tu

Ukinunua gari used wewe mmiliki mpya ndio utawajibika kulipia gharama za uharibifu uliofanywa na wamiliki waliopita wa gari hilo

Ni rahisi kum-shape mwanamke ambaye hajapitia trauma za hovyo (18-25)
​
 
Back
Top Bottom