Na inafikirisha sana 🤔Inasikitisha sana
Ukiwa na hiyo pesa ndani ya UTT unaizidisha kwa 0.12 ndio unaona return yake kwa mwaka.Hebu toa elimu kidogo hapa
Evelyn Salt my next wife 😜Jitahidi usipate muda wa kutia huruma we ji-injoishe tu
Ila unajua kuwashwa na mimi 😏😏😏 na una id kama za haya landEvelyn Salt my next wife 😜
Hasara haimpati mbuzi timua woteNa wakibuma wote je!?
Mimi ni ngosha ze donIla unajua kuwashwa na mimi 😏😏😏 na una id kama za haya land
Upo sahihi mkuu✔️27+ wanakuwa wamepitia trauma nyingi sana kwenye mahusiano. Hawa kuna wakati hakupendi ila anataka ndoa tu
Ukinunua gari used wewe mmiliki mpya ndio utawajibika kulipia gharama za uharibifu uliofanywa na wamiliki waliopita wa gari hilo
Ni rahisi kum-shape mwanamke ambaye hajapitia trauma za hovyo (18-25)
Ufala huu Hapaaaanaaaa
Ni future not next.Evelyn Salt my next wife 😜