Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Watoto wamekusikia
downloadfile.gif
 
Mkuu uwe unawapa hawa madogo masomo hata mara moja moja
madogo hawapendi kuambiwa ukweli. yan unakuta mwanaume mtu mzima anamiliki demu mmoja sijui wawili aisee af kibaya zaidi anahonga kwa kigezo kuwa mwanamke anapaswa kuhudumiwa, ni mkeo huyo.!!? ukiwashauri unaonekana mbaya.

mwanaume inatakiwa uishi na wanawake kama mwanasiasa, uongo mwingi na pesa kidogo wakati wa kampeni ukishachaguliwa unaishi kimaster.
 
Kuna ukanda mwanamke akisha kuwa mweupe tu hata ukimshauri ana kuona lofa 😅
 
Hapana mkuu yalikuwa mapenzi ya pande mbili kabisa..na mbaya zaidi familia zilikuwa karibu so mwishoni huku na mwaliko ukaja kuhudhuria harusi....ilibidi tu nisafiri mbali,watu wana roho mbaya nilitumiwa na picha kabisa yani..

Ila ndo hivyo yashaisha,tushaelewa nafasi zetu katika mapenzi.Hakuna tunayemsubiri wala tunayetamani kukutana nae.na bado maisha yana vitu vingi vya kufanya tofauti na mapenzi. Waliofanikiwa wamebarikiwa,acha wayafurahie.
Hakika, huenda ni kweli bwana kuwa love is not for every one
 
Hapo kwenye game of attention ndiyo ulipofeli brother, usije kupoteza muda kumlidhisha kiumbe ambaye hata mwenyewe haelewi anataka nini.
 
Kuna mdada nilimsikia aki lalamika kuwa mumew ata romance hampi ukifika wakti wa tendo hakuna maandalizi ni kugeuzana tu chap chap kimoja basi ndio maana ana chepuka ma bro ndio maana wake zenu mna chapiwa na boda boda
 
Back
Top Bottom