Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Avoidant mode activated, Ukiendelea kudate utaumiza watu which is not cute kwakweli.

Mimi nilishaga master the art of being alone, Huumizi mtu wala huumizwi na mtu.
Nakuomba kwa pm tafadhali maana nimeshindwa kuimaster hiyo art, huenda utanielekeza namna bora ya kuimaster
 
Avoidant mode activated, Ukiendelea kudate utaumiza watu which is not cute kwakweli.

Mimi nilishaga master the art of being alone, Huumizi mtu wala huumizwi na mtu.
Yaani u r right aisee. Kuna namna kabisa naona kuna watu nawa punish na i feel is not good nachowafanyia maana hakuna mtu perfect.
Anyways, i hope ni stage tu, nitabalance na mimi nifikie hapo ulipo
 
Ni kwanini sisi binadamu huwa tunapenda kujipa umuhimu kwa watu wengine? Nani aliye tuambia kuwa kuna kiumbe kitakupenda, ukiachana na wanyama(pets) binadamu mwenye akili zake timamu hawezi reciprocate
 
Dunia imeshakuwa ya ajabu hii, ukionesha kujali sana, unaonekana desparate..

Yaani imekuwa mpaka ucheze mchezo wa #hard to get" eti ujifanye like you don't care kama vile tupo kwenye maigizo ndo kuonekana kuwa uko gado.

Ni ujinga tu, kuigiziana.
 
Baada ya tafakari ya kina nimegundua, kumbe unacho lilia sio mtu, bali uwepo wa yule mtu na jinsi a navyo kufanya ujiskie..

Tafuta amani na contentment katika kuwa mwenyewe... Ya kuwa furaha na amani vianzie ndani ya nafsi yako..

Ishi pasina expectations kutoka kwa mtu mwingine, Usipende kutrade your own sense of self worth kwa kiumbe mwingine..

Kila mtu ana uchaguzi wa kuchagua kitu anacho kipenda, so usipochaguliwa Heshimu uchaguzi wa mwingine, Usipende kulazimisha upendo, uache uje wenyewe nawewe jiulize kama kweli unakufaa au lah!

Je, hii mindset ni sahihi au kuna cha kuongeza ewe master of being alone binti kiziwi
 
Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi..

Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono.

Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka

Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee

Mambo ya kuoa na kuwa na familia kwa kweli Hapana.

It's too much, siwezi drama tena.

Wakati umefika as a man inapaswa tuachane na games of attention and pleasure. Ni muda mwafaka wa kufuata malengo yako ya maisha.

Love is a scam.
Aah weee mapenzi yapo
Hayo mambo mengine yapo tu hayaepukiki
 
Back
Top Bottom