Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
510
Reaction score
901
Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi..

Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono.

Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka

Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee

Mambo ya kuoa na kuwa na familia kwa kweli Hapana.

It's too much, siwezi drama tena.

Wakati umefika as a man inapaswa tuachane na games of attention and pleasure. Ni muda mwafaka wa kufuata malengo yako ya maisha.

Love is a scam.
 
Ogopa sana mtu anasema hataki drama mara nyingi he’s (you) The drama.

Kwenye beauty and black Norman alimwambia Olivia unasema unataka amani wakati wewe ndiye muanzisha vita/mchokonoa vita.

Kabla hatujayahukumu mapenzi inabidi tujipime kama sisi tunafaa kuwa wapenzi wa watu. Wake/waume za watu.
 
Screenshot_20261004-124311~2.jpg
 
Ogopa sana mtu anasema hataki drama mara nyingi he’s (you) The drama.

Kwenye beauty and black Norman alimwambia Olivia unasema unataka amani wakati wewe ndiye muamzisha vita/mchokonoa vita.

Kabla hatujayahukumu mapenzi inabidi tujipime kama sisi tunafaa kuwa wapenzi wa watu. Wake/waume za watu.
Wengine tunafaa tu kuwa wapenzi watazamaji .
 
Back
Top Bottom