Mapenzi ya siku hizi yamekuwa “Trial Version”?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,796
Reaction score
60,635
Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano?

Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano yamepungua, mwisho mnabaki kutumiana reels za Instagram mara moja moja kama marafiki wa mbali

Kinachonishangaza zaidi ni namna watu siku hizi hawaonekani kuumia sana kama zamani. Mtu ameachana leo, kesho anaendelea na maisha kawaida kabisa. Akitokea mwingine wa kumtongoza anaingia line tena fasta bila hata stress .

Hii imekaaje kweli?Je, wanaume wamekuwa wajanja sana kwenye kucheza na feelings za watu?
Au na wanawake pia wameingia kwenye mfumo wa onja onja mtu anaamua kuenjoy moment bila kuweka moyo wake wote kwenye relationship?

Maana kuna scenarios nyingine hata hela hujaombwa, hakuna kudanganyana sana, mnaenjoy muda kidogo pamoja halafu kila mtu anasepa zake kimya kimya .Naona kama kizazi cha sasa kinaingia kwenye mahusiano kwa mindset tofauti kabisa siku hizi watu wanaangalia zaidi experience kuliko commitment
Nyinyi mnaonaje? Hii ni evolution ya mahusiano ya kisasa au watu wamekuwa wagumu kuweka hisia za kweli?
 
20260513_135312.jpg
 
Na haya mafuta yalivyopanda, kila kitu kimepanda, huo muda wa kumuwaza mtoto wa mtu unatoa wapi?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Shindii lazima muwe na mchezaji wa akiba 😅
Shindii unatusingizia tabia zenu. Sisi ni waaminifu sanaaa. Tukiachwa, tunalia hadi kamasi. Hapo hadi uje uwe na mtu mwingine ni baada ya miaka minne🤣🤣
 
Nitazidi kuwasifia walioweka utaratibu wa ndoa na mkute wanandoa mnafata misingi na taratibu za ndoa

Zaman mna commentiwa msishiriki tendo kabla ya ndoa na kweli kwa protocol hiyo kweli mnajikuta mnadumu kwenye ndoa.. mpaka raha

Sasahiv unakutana na mwanamke mnaenda kushirik tendo unamuona mwenzako sehemu ya nyuma imetumika zaidi ya mara mia ila hajakupa wewe tu kwa haibu au kukuficha utamrudia tena huyo mshenzi

Au unakutana na mwanaume kumbe shoga anajikaza tu kulala na mwanamke

Lazima mfungiane vioo
 
Back
Top Bottom