ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,933
- 77,372
Milio kila kona! Wanawake wameamuami mwenyew nimeshangaa🤭😄
Milio kila kona! Wanawake wameamuami mwenyew nimeshangaa🤭😄
Muandiko wa mtu anae lengwa na machozi unajulikana.😅Kuna mtu kashapigwa na kitu kizito kichwani, nasikia milio huko
Kwani yule Mzee alisemaje? Akiuluzwa na watu kwanini anagombana na mke wake jibu ni kitu gani? Na ni mzee kabisa hadi uhafifu wa kuona unamnyemelea.Unauhakika dunia itaisha? 😂
Umri wako?Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi..
Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono.
Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka
Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee
Mambo ya kuoa na kuwa na familia kwa kweli Hapana.
It's too much, siwezi drama tena.
Wakati umefika as a man inapaswa tuachane na games of attention and pleasure. Ni muda mwafaka wa kufuata malengo yako ya maisha.
Love is a scam.
Kuachwa ni sawa sawa na kumaliza mkopo bank😅 kuna mda unatamani hata uachwe ili kupunguza lawama na malalamiko tu bwashee 😅Muandiko wa mtu anae lengwa na machozi unajulikana.😅
😀😀😀😀 BasiiiiiiiKwani yule Mzee alisemaje? Akiuluzwa na watu kwanini anagombana na mke wake jibu ni kitu gani? Na ni mzee kabisa hadi uhafifu wa kuona unamnyemelea.
Huwa nashangaa mtu akitia huruma anapoachwa.Kuachwa ni sawa sawa na kumaliza mkopo bank😅 kuna mda unatamani hata uachwe ili kupunguza lawama na malalamiko tu bwashee 😅
Dah! Punguza pilipili, hii inawasha sanaaaHakuna mwanamke ataweza kuishi na wewe. Na mwanamke atakaekupa mbususu ni malaya tu. Umechelewa kujua mapenzi hayakuhusu wewe fanya vingine
Hali ni mbayaaaaaaa kwa jamaa.Kuna mtu kashapigwa na kitu kizito kichwani, nasikia milio huko
Acha kujustify uzaifu wako bwana mkuu, tulia dawa ikuingie kwanza.😅Huwa mnajifanya wababe mpaka kiwarambe
MnoHali ni mbayaaaaaaa kwa jamaa.
Ukiona umeachwa bila sababu ujue kamati ya roho mbaya(marafiki) wamefanya yao.Niachwe bila sababu? Hii haija kaa sawa kabisa.. Au kisa ni kuwa nice guy?
mwishoe popcorn zinipalie wakati nilipaswa kusikitika😄Ukiona umeachwa bila sababu ujue kamati ya roho mbaya(marafiki) wamefanya yao.
Raha ya mapenzi ni kutapeliwa.Piga nyeto tuu, mapenzi ni utapeli
tangu lini nice guy akaonewa huruma na mwanamke, seems umechelewa sana kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi ilitakiwa uanze tangu primary uko ukifika kwenye mid 20s unakua unachukulia wanawake easy sanaNiachwe bila sababu? Hii haija kaa sawa kabisa.. Au kisa ni kuwa nice guy?