Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

P
Hii comment daaah!!...Niliwahi achwa bila hatia na yule dada akaolewa na mwanaume ambaye kwa macho ya kawaida tu wapo na furaha pamoja na mimi niko hapa nishayachoka..

Sikuwahi muombea mabaya lakini sikustahili yale,nilikuwa bora sana basi tu vitu vingine sio kwa ajili yetu.
Pole Mkuu, mapenzi yanauma sana.
 
Yeah ni sawa ukiachana nayo completely, Mtu hataishi kwa mkate tu……
Aisee hii imenikata sana..
Lengo langu lilikuwa kukualert isijekuwa unalalamikia wenye drama kumbe you are the one. Kuna kamchezo ka kunyoosheana vidole, hakuna anayekubali yeye ni tatizo, as in accountability ni kituo cha polisi kwa wengi.
Am not an expert ila nimekuwa in the scene for quite some time, nimegundua kuwa watu huwa wana angalia outside noise and not their hearts.

Kumpenda mtu comes from you and not how cool people think someone is. Hizo ni subjective opinions ambazo haiwezi ku ring true for everyone
 
Leo ndege mjanja kanaswa 😢😢

Yaani na jeuri yote Nashindwa kabisa, aisee mapenzi ni ya kijinga sana haya!
 
Aisee, au ulijikomba sana kwake mkuu?


Maana hawa viumbe huwa wanaongea kile waki maanisha hiki
Hapana mkuu yalikuwa mapenzi ya pande mbili kabisa..na mbaya zaidi familia zilikuwa karibu so mwishoni huku na mwaliko ukaja kuhudhuria harusi....ilibidi tu nisafiri mbali,watu wana roho mbaya nilitumiwa na picha kabisa yani..

Ila ndo hivyo yashaisha,tushaelewa nafasi zetu katika mapenzi.Hakuna tunayemsubiri wala tunayetamani kukutana nae.na bado maisha yana vitu vingi vya kufanya tofauti na mapenzi. Waliofanikiwa wamebarikiwa,acha wayafurahie.
 
tangu lini nice guy akaonewa huruma na mwanamke, seems umechelewa sana kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi ilitakiwa uanze tangu primary uko ukifika kwenye mid 20s unakua unachukulia wanawake easy sana
Mkuu uwe unawapa hawa madogo masomo hata mara moja moja
 
Back
Top Bottom