Nilijitengenezea hii kitu mwenyewe baada ya kupigwa kitu kizito, ila kimasihara naona hii tabia inanizid nguvu. Nashindwa kabisa attachmentsJe, una attachment issues
Bado hauja heal kutoka katika pain, ya kuumizwa.Nilijitengenezea hii kitu mwenyewe baada ya kupigwa kitu kizito, ila kimasihara naona hii tabia inanizid nguvu. Nashindwa kabisa attachments
May be.Bado hauja heal kutoka katika pain, ya kuumizwa.
I feel like I have fear of rejection ndo maana hata mm nikikumbwa na kukataliwa hasa na mtu ni naye mpenda hujikuta naumia sana
Kama una umri ambao umesha Kwisha kuwa na familia imara ni sawa, ila kwa wengine ambao bado tunaona it's almost like a game of chess, sasa si bora nikuache mchezo mazima kabisaMay be.
Ila mimi sipati nayo shida. Na pia sitaki attachment hata hivyo
Ofcourse i had a family, but no more. 4 kids.Kama una umri ambao umesha Kwisha kuwa na familia imara ni sawa, ila kwa wengine ambao bado tunaona it's almost like a game of chess, sasa si bora nikuache mchezo mazima kabisa
Anaye nipenda simpendi, yanini nimdanganye?
That's a red pill, but I have to take it so as to be freeKama mwanamke unayemtaka HAKUPENDI,basi tambua kuna mwingine ANAYEMPENDA AMBAYE SIYO WEWE..
na mwanamke Huwa Nini anachokitaka na anasimamia kutimiza desire yake ,mwanamke ANAJUA hata atazaa na nani ,hata kama yupo kwenye ndoa,kuna wanaume wanalea watoto sio wao.
Kuoa mwanamke ambaye HAKUPENDI ni msalaba mizito ni mzigo mzito sana hasa kama una AKILI TIMAMU, ..being intelligent is a curse as you can't be intelligent and happy at the same time.
hapan tunaitana shemej ila demu anaonekana kunitaka kwasababu uchoyo ni dhambi nami stak dhambi kabsaKwamba wewe na demu wake mna date?
Pole first born.Nusu mwaka
Uliwafanyaje Hadi kukupiga kifungo mirefu hivyo?Asante first born, ndo maisha... Tutakutana april kwa iliyo kifungoni
Avoidant mode activated, Ukiendelea kudate utaumiza watu which is not cute kwakweli.Inabidi kwakweli. Maana kwasasa mimi ku pull off ni sekunde tu, najiona kabisa navyozidi ku fail kwenye bonding. Ukini bore kidogo tu i go off😂