MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,832
- 39,996
Ana hoja, asikilizwe
Si ndio bwasheee! Tule bia 😀Wengine tunafaa tu kuwa wapenzi watazamaji
Mbona unataka kufanya dunia iishe?Ogopa sana mtu anasema hataki drama mara nyingi he’s (you) The drama.
Kwenye beauty and black Norman alimwambia Olivia unasema unataka amani wakati wewe ndiye muamzisha vita/mchokonoa vita.
Kabla hatujayahukumu mapenzi inabidi tujipime kama sisi tunafaa kuwa wapenzi wa watu. Wake/waume za watu.
Can you bring the psychology behind that?Ogopa sana mtu anasema hataki drama mara nyingi he’s (you) The drama.
Hiyo ni movie, sio maisha halisi.. Na kingine mtu asiye penda drama ni kwamba unakuta ana attract wanaozipenda subconsciously. Ndo maana nimejifunza saiz ni kheri Nika achana kabisa na mapenzi, it's rare out hereKwenye beauty and black Norman alimwambia Olivia unasema unataka amani wakati wewe ndiye muamzisha vita/mchokonoa vita.
Naelewa sana, na ndo maana nimeacha kuyapa umuhimu mapenzi watu wa ongea hili, then wanafanya lileKabla hatujayahukumu mapenzi inabidi tujipime kama sisi tunafaa kuwa wapenzi wa watu. Wake/waume za watu.
Kasahau kumtag😎ngoja nikae hapa naweza kuokota mawili matatu yakanisaidia mbeleni
😂😂😂 Kwamba haiwezekani, ni bora watu wabanane humo kitaalamu?Mbona unataka kufanya dunia iishe?
Hapa nabugia karanga kwanza , nizimue na toti moja nilale😅Si ndio bwasheee! Tule bia 😀
Hawataki kuzaa bila ndoa labda umpate mtoto wa mtu kutoka huko machakani ambae bado yuko primary umjaze mimba na ukimjaza mimba serikali itakusaka ikuingize ndani miaka 30 mpaka ukija kutoka huko ambapo serikali ilikupeleka ukafirwe unakuja kumkuta mtoto wako nae ameshafirwa sana ndani ya miaka 30 kwa hio Baba anafirwa na mtoto anafirwa kizazi kimeshaharibika tayariNaona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee
mi mwenyew nimeshangaa🤭😄Kasahau kumtag😎
Hii comment daaah!!...Niliwahi achwa bila hatia na yule dada akaolewa na mwanaume ambaye kwa macho ya kawaida tu wapo na furaha pamoja na mimi niko hapa nishayachoka..Basi labda wengine sio fungu letu katika hili life, maybe in after life, au next incarnation
Uliona wapi?😂😂😂 Kwamba haiwezekani, ni bora watu wabanane humo kitaalamu?
Kunywa pombe kwa starehe ukinywa kwa maumivu , utaweza hata jipupulia bwashee, sasa hivi kaa tuliza kichwa.Nipe location bwashee hali si hali huku, sijawahi kupata maumivu makali ya nafsi, mwili na roho kama haya.. 😔
Isiwe mbege tu bwashee
Aisee, au ulijikomba sana kwake mkuu?Hii comment daaah!!...Niliwahi achwa bila hatia na yule dada akaolewa na mwanaume ambaye kwa macho ya kawaida tu wapo na furaha pamoja na mimi niko hapa nishayachoka..
Sikuwahi muombea mabaya lakini sikustahili yale,nilikuwa bora sana basi tu vitu vingine sio kwa ajili yetu.
I don’t know, sijastudy nijue ninini huwa kinatokea.Can you bring the psychology behind that?
Ni movie lakini huo usemi unafanya kazi katika maisha halisi.Hiyo ni movie, sio maisha halisi..
Hili linawezekana.Na kingine mtu asiye penda drama ni kwamba unakuta ana attract wanaozipenda subconsciously.
Lengo langu lilikuwa kukualert isijekuwa unalalamikia wenye drama kumbe you are the one. Kuna kamchezo ka kunyoosheana vidole, hakuna anayekubali yeye ni tatizo, as in accountability ni kituo cha polisi kwa wengi.Ndo maana nimejifunza saiz ni kheri Nika achana kabisa na mapenzi, it's rare out here
Naelewa sana, na ndo maana nimeacha kuyapa umuhimu mapenzi watu wa ongea hili, then wanafanya lile
Unauhakika dunia itaisha? 😂Uliona wapi?
Namna hiyo….Hapa nabugia karanga kwanza , nizimue na toti moja nilale😅