mama weee, kakutana na punch 👊 ya aisha vindimu,...😸😸😂Kuna mtu kashapigwa na kitu kizito kichwani, nasikia milio huko
Mbona rahisi tu,yatumie mahaba ya mwanzo ukiona haeleweki timua mbio…uking’ang’ana usisahau kuna bastola ya kichwa mkuuNdio it is sweet, ila kumpata sasa ndo mtihani
amini , amini nakuambia kamwe usijione kuwa wewe ni bora na una haki ya kupendwa Zaid na fulani kwasababu fulani,...Hii comment daaah!!...Niliwahi achwa bila hatia na yule dada akaolewa na mwanaume ambaye kwa macho ya kawaida tu wapo na furaha pamoja na mimi niko hapa nishayachoka..
Sikuwahi muombea mabaya lakini sikustahili yale,nilikuwa bora sana basi tu vitu vingine sio kwa ajili yetu.
Good! Jifanyie kazi mpaka utakapokuwa tayari.Kwasasa mimi najiona kabisa sifai kuwa mpenzi wa mtu kwakweli
mwandiko unasauti ya kwikwi kwa mbali, macho mekundu na pua yenye kamasiMuandiko wa mtu anae lengwa na machozi unajulikana.😅
Sasa mazoea si ndo muhimbili mkuu wa mapenzi. Maipo zoeana kutakuwa na upendo?
Duuhamini , amini nakuambia kamwe usijione kuwa wewe ni bora na una haki ya kupendwa Zaid na fulani kwasababu fulani,...
mtu anaweza mpenda mwizi, mvuta bangi , marioo , shoga , malaya na hata teja,...na akamuacha mtu ambaye jamii inaamini ni mtu safi, handsome au beautiful, mchapa kazi na mwenye malengo safi,...
kuna watu wakiwa faragha huko, wanafanyana mpaka wake/waume za watu wakitoka hapo wanaenda kutafutiza visababu vya kuachana,...
so just play your part,...umeachwa ,then move on ✌️🤞🚶🚶
amini , amini nakuambia kamwe usijione kuwa wewe ni bora na una haki ya kupendwa Zaid na fulani kwasababu fulani,...
mtu anaweza mpenda mwizi, mvuta bangi , marioo , shoga , malaya na hata teja,...na akamuacha mtu ambaye jamii inaamini ni mtu safi, handsome au beautiful, mchapa kazi na mwenye malengo safi,...
kuna watu wakiwa faragha huko, wanafanyana mpaka wake/waume za watu wakitoka hapo wanaenda kutafutiza visababu vya kuachana,...
so just play your part,...umeachwa ,then move on ✌️🤞🚶🚶
Inabidi kwakweli. Maana kwasasa mimi ku pull off ni sekunde tu, najiona kabisa navyozidi ku fail kwenye bonding. Ukini bore kidogo tu i go off😂Good! Jifanyie kazi mpaka utakapokuwa tayari.