Dharafu
Member
- Dec 24, 2020
- 48
- 74
umeandika vema sana mkuu...ili ni jambo la kuzingatia kwakweli kama kweli unaipenda nafsi yako, inakuaje mtu hajakufanyia lolote baya afu unajikuta tu eti unamchukia..huo ni ugonjwa mbaya sana wa nafsi..Kuwa na chuki binafsi na mtu hata kama hajakukosea chochote ni mwanzo wa mtu kuwa mchawi. Stage zake ni chuki, kijicho, husda na hatimae uchawi.
Kwavile tayari umeamua kumchukia tu bila sababu huwezi muelewa.
Ila ukiwauliza waandishi wa habari ambao vyombo vyao vimefunguliwa baada ya kufungiwa kiuonevu, ukiwauliza Taasisi za kiraia ambazo account zao zimefunguliwa baada ya miezi kadhaa ya kuzuiliwa wao wanamuelewa analolifanya.
Angalizo: Chuki binafsi ni moja ya magonjwa makubwa sana ya nafsi jiepushe na ujikinge na gonjwa hilo