Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Pale alipomwambia Jaji Mkuu watoe hukumu za haki nilionanwabunge wa Ccm nyuso zimebadilika. Akawarudia polisi na magereza naon somo limesomeka. Ile kubambika watu kesi ina elekea mwishoni sasa.
Mungu amesikia maombi ya Watanzania.
Kuna watu watakua na maisha magumu sana
 
Wabunge wa CCM wamepiga makofi leo mpaka mikono yao imebakia na malengelenge kwa ajili ya unafiki wao. Roho zimewashuka Rais SSH aliposema atakuwa akikutana na viongozi wa vyama vya kwa ajili ya mazungumzo juu ya mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Screenshot_20210422-191808.jpg
 
Pale alipomwambia Jaji Mkuu watoe hukumu za haki nilionanwabunge wa Ccm nyuso zimebadilika. Akawarudia polisi na magereza naon somo limesomeka. Ile kubambika watu kesi ina elekea mwishoni sasa.
Mungu amesikia maombi ya Watanzania.
Mama kapiga pande zote, kama yatatekelezwa Mungu ampe maisha mrefu
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Walizoea vya kunyonga na sasa ni mwendo wa halal,wanatafuta sehemu ya corner wafanye U turn.Wana shida siyo kidogo.
 
Anapiga mziki wa CCM wanapagawa wapinzani
Ishu siyo CCM. CCM ishakufa mbona? Ishu ni personality ya Rais. Magufuli alipotangaza kuviua vyama vya upinzani, haikuwa sera ya CCM. Ilikuwa sera ya Magu. Samia anakiri kwamba bila demokrasia na uhuru wa habari na mawazo, hatuwezi kuwa na maendeleo ya kweli. Usisahau hiyo
 
CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.

Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Hawatoweza.ila awakwepe akina bashite kuwapa vyeo.
 
Tuna wabunge sio wa dunia hii, kuimba, kusimama, makofi hata sehem isiyo ya makofi,alafu ukute mpaka mda huu wameisha sahau hata hotuba yenyewe
Hakuna point waliyoichukua pale, kelele za mapambio na sifa zilizidi mno. Halafu bado tuseme wanatuwakilisha wakati inabidi tujisikilizie wenyewe bila huo "uwakilishi" wao.
 
Back
Top Bottom