Mange ndani ya NY Post!

Mange ndani ya NY Post!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,016
Reaction score
142,836
Safi sana Mange!

You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times.

And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.

Hii publicity si ndogo.

 
Safi sana Mange!

You are a rider for real.

And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.

Hii publicity si ndogo.

ASANTE KWA KUITANGAZA TANZANIA KWA MABAYA LAKINI ELEWA DUNIA ITATUPOKEA KWA MEMA!.....YALIYOPO TANZANIA!..
 
Hii kesi atashinda , dhidi ya vibaka na madhalimu wa Samuya waliokuwa wakitumwa kupeleka malalamiko eti faragha zao zinaingiliwa kumbe wanamulikwa ufisadi wao.

X ya Elon Musk imejitahidi sana kutopokea maelekezo ya serikali dhalimu ndio maana hata wakaona waifungie kwa watumiaji waliopo Tanzania.
 
Wewe Nyani Ngabu kwa nini na wewe usitoke ukaweza msaada kwake?

Yaani unaambia mwanamke ni rider alaf umeweka makebo yako kwa kochi?
Acha kufanya assumptions.

Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.

Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
 
Back
Top Bottom