Mim ndio kabsaaaaa......amad anamuwekaga nje why?
Activeness ya watoto wa academy huwez ukafananisha na Rushford. Anazunguka tu...ona ganacho anavyozunguka..tulimiss sana hustle za Rooney Ganacho anafuata mtu.

Kiukweli hata Ruke Shaw ni walewale bora hata Amrabati
Mimi binafsi shaw namkubali. Namuona mtu wa kazi sana. Uwa nakuwa na imani awapo uwanjani. Amrabat kwakweli HAPANA
 
Huyu Amad apewe nafasi atuonyeshe kiwango sio kuambiwa na EtH maana hatumuamini kwa sasa. Daily wachezaji wengi tu wa kikosi cha kwanza wanaharibu mechi baada ya mechi lakini hawakosi nafasi. Anakosaje ujasiri wa kumuamini Amad aliyekwishakiwasha championship walau mechi 3 hadi 4 mfululizo? Au ndio ubaguzi tunaousikia huu?
 
Ila scott ni namba 9 huko kungine sio
Scot ni advanced Eight sema hana skills nyingi tu uwanjani.

Kwenye timu ya taifa huwa anacheza pia kama centerbak wa kulia.

Ana bahati ya kufunga na kutokana na utimamu wa mwili wake inakuwa added advantage.

Scot chini ya Ole alicheza kama DM hatukuona tatizo kubwa sana kwa sababu DM chini ya Ole walikuwa hadefend eneo kubwa na timu ilikuwa na rest defence yenye afadhali.

Tatizo la Erik Ten Hag timu haina rest defence DM wanalazimika kucover eneo kubwa sana kuliko kawaida that's why tunaconceed shots nyingi sana.
 
Mim ndio kabsaaaaa......amad anamuwekaga nje why?
Activeness ya watoto wa academy huwez ukafananisha na Rushford. Anazunguka tu...ona ganacho anavyozunguka..tulimiss sana hustle za Rooney Ganacho anafuata mtu.

Kiukweli hata Ruke Shaw ni walewale bora hata Amrabati
Mchezaji hatakiwi kupewa nafasi kama sadaka anaipata nafasi akionyesha anaweza kutekeleza kila anachokitaka mwalimu mazoezini.

Game ya Liverpool, livakuku walijua wameshamaliza mechi baada ya kufunga goli la pili ila waliposawazishiwa walikuwa wamechoka sana. Walikuwa hawawezi kusprint hata ten yards so ilikuwa easy kwa Amad kuexploit weakness hiyo.
 
Huyu Amad apewe nafasi atuonyeshe kiwango sio kuambiwa na EtH maana hatumuamini kwa sasa. Daily wachezaji wengi tu wa kikosi cha kwanza wanaharibu mechi baada ya mechi lakini hawakosi nafasi. Anakosaje ujasiri wa kumuamini Amad aliyekwishakiwasha championship walau mechi 3 hadi 4 mfululizo? Au ndio ubaguzi tunaousikia huu?
Kulia Amad over Garnacho itakuwa sawa ?
 
Kulia Amad over Garnacho itakuwa sawa ?
Amad aende kushoto over Rashy sio mbaya.
Lakini wakati wa debut yake Garnacho amewahi kucheza kushoto akafanya poa tu kama kulia, lengo Amad apewe nafasi pia.
Option nyingine Anthony atokee kushoto labda akawa crosser mzuri kuliko Rashy anayewaza kufunga kila nafasi inayotokea.
 
Mpira hauchezwi hivi wakuu mchezaji anatakiwa kuonyesha hicho mazoezini.

Garnacho ameonyesha kuwa yuko vizuri zaidi upande wa kulia ana create japo mwalimu anampa freedom ya kuhama hama kwenda kwenye wings zote.

Amad sijamuona akicheza kushoto zaidi ya kucheza right wing tu huwezi kumweka kushoto kufanya majaribio ukiwa kwenye race ya kutafuta ushindi tu.

Ili tuingie top four angalau kushinde 90% ya mechi zetu hatuwezi kufanya trials katikati ya msimu.

Kilichotokea mechi ya Liverpool kwa wachezaji sita kucheza position tofauti hutokea pale unapojilipua kutafuta matokeo tu.
 
Tatizo la Erik Ten Hag timu haina rest defence DM wanalazimika kucover eneo kubwa sana kuliko kawaida that's why tunaconceed shots nyingi sana
UTD Pia ina shida kwenye FFP kwa hiyo kuna uwezekano Pia kushindwa fanya sajili nyingi. Kuna wachezaji tegemezi ila kama wameshakuwa mzigo Akiwamo SHAW. Tunaweza enda enda nae kumkomaza HARRY AMASS.

Academy imekuwa jibu sana kwa miaka mingi. Amass anaweza kuja okoa Pesa Mingi. INEOS wafanye namna tumpate yule Melvin Bard hata kwa 25m kwenye ile timu yao. Upande wa Kushoto umekuwa tatizo sana msimu huu.

Tatizo la Rest Defense ni kwa sababu Pia hatuna CB's wanaokuwa wazuri kuzuia zile wide channels 1v1 {VVD, DIAS, SALIBA, n.k} na kuanza mashambulizi hapo hapo, Pia DM Mwenye uwezo wa kufanya Screening ~ Casa sio Yule tena, Imefanya tumekuwa na aina ya magoli ya kufanana inapigwa "V" Cut back, Opponent anachagua tu Angle hana wa kumghasi inaishia kuwa Deflection ama GK kuangalia tu. Sajili tunahitaji 1st 11 kwa Kuanzia {RCB, DM, RW, (Hybrid LCB n LB)}
 
Kobbie mainoo ameitwa timu ya wakubwa
1710862362218.png
 
UTD Pia ina shida kwenye FFP kwa hiyo kuna uwezekano Pia kushindwa fanya sajili nyingi. Kuna wachezaji tegemezi ila kama wameshakuwa mzigo Akiwamo SHAW. Tunaweza enda enda nae kumkomaza HARRY AMASS.

Academy imekuwa jibu sana kwa miaka mingi. Amass anaweza kuja okoa Pesa Mingi. INEOS wafanye namna tumpate yule Melvin Bard hata kwa 25m kwenye ile timu yao. Upande wa Kushoto umekuwa tatizo sana msimu huu.

Tatizo la Rest Defense ni kwa sababu Pia hatuna CB's wanaokuwa wazuri kuzuia zile wide channels 1v1 {VVD, DIAS, SALIBA, n.k} na kuanza mashambulizi hapo hapo, Pia DM Mwenye uwezo wa kufanya Screening ~ Casa sio Yule tena, Imefanya tumekuwa na aina ya magoli ya kufanana inapigwa "V" Cut back, Opponent anachagua tu Angle hana wa kumghasi inaishia kuwa Deflection ama GK kuangalia tu. Sajili tunahitaji 1st 11 kwa Kuanzia {RCB, DM, RW, (LCB n LB)}
Sisi fullbacks wetu hawa invert kuingia kwenye midfield tukiwa tukienda kushambulia tunapoteza defensive shape yetu kwa sababu ya wachezaji wengi kutokuwa wazuri individually
 
Back
Top Bottom