Yaani timu inaamua kufanya kweli inafika mbele alafu jinga moja linaharibu pass.

Kila mechi tuna jinga moja linaloharibu pass.
Kapteni sijui ni wa nini uwanjani. Ilitakiwa amfuate Greenwood amkemee.
 
Back
Top Bottom