Daahh, nilikuwa nafuatilia kupitia sofascore ilipofika zamu yake ngoja idakwe, mara paaap nikaona XImedakwa/imetolewa
Arsenal tulitolewa kizembe.Mkadhani Arsenal tulitolewa kizembe
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐ Daah nyie majamaa ๐๐๐ inaonyesha mlikuwa mnasubiri kwa hamu sana nyumbu afungwe ili mpost hizi pics ๐๐๐ nmecheka knoma hasa hy ya BrunoHahahahabahahahahabah Nyumbu Kama nyumbuView attachment 1798877
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Nimecheka hapa mpaka nyumba ndogo imeshtuka,eti marehem alipiga chafya, watu wamevurugwa wakazika hivyohivyoMarehemu alipiga chafya lakini tumezika hivyo hivyo
Mwenzio kafelia chuo kikuu. Hamko sawa!Mkadhani Arsenal tulitolewa kizembe
Di nyea ndie kipa sahihi hapo mbugani kwa PundamiliaNa kwanini ole hakufanya sub ya kipa?
Kweli kabisa mkuu, ni vizuri kuwakumbusha hawa nyumbu FCConte Hana Kazi