Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,530
- 18,725
Kweli Rashidi ni mchezaji wa mechi kubwa hilo tumeliona leo walahi [emoji38][emoji38][emoji38]. Greenwood, Bruno wote wametupia goli mbili mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Villarreal anakufa Leo vzr tu... Mashabiki wa man utd msiwe na waswas kwani nadhani mnafahamu rashford yupo na ni mchezaaji wa mechi kubwa.... Ataweka pia greenwood ataweka na Bruno na cavani pia watatupia mabao...