Kimsingi man city ni tough opponent huwezi kutegemea maisha yawe marahisi kama tunavyochezaga na kina Burnely au west brom..Tulieni tuone kipindi cha pili nini kitatokea but i believe tutashinda hii game..
 
Bruno anawenge leo sijui anacheza na presha ya nini dakika za mwisho hapa kapiga pasi fyongo badala atulie. Poor first half sijui tumezidiwa jumla au ndo kocha kataka tucheze hivyo.
 
Back
Top Bottom