Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila magwaya ameshindwa kuprove thamani yake..hazungumziwi sana kwasababu ni muingereza ila kiukweli ni beki wa kawaida sana..sanaa
 
Nasikia Chelshit wamewakabidhi kijiti cha kufungwa, tukianza na game hii ya leo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naulizwa swali hili ni kombe la mbuzi au lah?kama ni la mbuzi tuambieni Ole Mmasai kombe gani amebeba tangu ajiunge na Manchester United ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ole ni kocha ambaye hana uwezo wa kubeba kombe lolote duniani
 
Back
Top Bottom