Hata VPLNaulizwa swali hili ni kombe la mbuzi au lah?kama ni la mbuzi tuambieni Ole Mmasai kombe gani amebeba tangu ajiunge na Manchester United ?ole ni kocha ambaye hana uwezo wa kubeba kombe lolote duniani










Martial sijui kimemkuta Nini... Msimu ulioisha alimaliza vizuri ila huu dah!Dah nimekubali matokeo tumesitahili mbele butu kabisa nimemkumbuka Cavan
aaah yan nimeshangaa kocha anamwacha akae na ujinga wake mule ndani akati alikua wa kutoka tangu dakika ya 60 ivi,,Martial sijui kimemkuta Nini... Msimu ulioisha alimaliza vizuri ila huu dah!
Kukaba hakabi... Hamna dribble, anapoteza mipira kawa laini kama urojo
Mkuu umeongea vyema sana.."hamna dribble" Shaw akiingia eneo la adui ana-dribble nzuri kuliko huyo mjinga. Shaw angecheza winger nom11 ni bora zaidi ya huyo.Martial sijui kimemkuta Nini... Msimu ulioisha alimaliza vizuri ila huu dah!
Kukaba hakabi... Hamna dribble, anapoteza mipira kawa laini kama urojo
Naulizwa swali hili ni kombe la mbuzi au lah?kama ni la mbuzi tuambieni Ole Mmasai kombe gani amebeba tangu ajiunge na Manchester United ?ole ni kocha ambaye hana uwezo wa kubeba kombe lolote duniani
He!Manchester city hawez kumfung manchester united mengine dakika 90 ni sawa na arsenal alivyoshinda kwa penat ya pogba
Hapo kwenye sancho hapooooSancho na grealish wa muhimu sana leo bruno hakuwa na mchezo mzur tumepoteza maana yake kuna mtu mmoja tu
Kocha km ataendelea kuuamini huu mku..n.d..u ku..n...u...ka utatughalimu sn.Martial sijui kimemkuta Nini... Msimu ulioisha alimaliza vizuri ila huu dah!
Kukaba hakabi... Hamna dribble, anapoteza mipira kawa laini kama urojo