Next two games mtajichagua kati yako au leicester mmoja aachie nafasi ya wazee wakubwa.
Acha mbwe mbwe .."Wee ulisikia wapi?"

Tatizo ninyi mukishinda mechi tatu vichwa vinavimba kweli kweli ..ninyi man u fans mnakuwaga na akili mbofu mbofu ...

Kuhusu top four itabid usahau mapema ..ondoa ayo mawazo mze..

Unadhani Leicester ataki kucheza UEFA? Ee bwana wee usahau kabisa UEFA kuna raa yake mkuu..
 
★Mkipigwa Goli mnakuwaga Na maneno ya busara kama umefumaniwa dadeq Tunawataka tuje tuwanyonye kiherehere na maneno ya shombo
Ninyi jana mumefurahi sana kwa sisi kufungwa..

Ila munatakiwa mujue kuwa top four itakuwa mutihani kwenu.

CFC
 
★Naona ushaanza kuhamia Leicester City maana si kwa kujitetea hivi Jahazi la ChelShit limeanza Kwenda Mlama Sharti kujiokolea sehemu iliyo na unafuu utatajikuta unatetea mpaka The Red Devils ambayo unajikuta huijui jina unaiita Nyumbu Kazi ipo★
Acha mbwe mbwe .."Wee ulisikia wapi?"

Tatizo ninyi mukishinda mechi tatu vichwa vinavimba kweli kweli ..ninyi man u fans mnakuwaga na akili mbofu mbofu ...

Kuhusu top four itabid usahau mapema ..ondoa ayo mawazo mze..

Unadhani Leicester ataki kucheza UEFA? Ee bwana wee usahau kabisa UEFA kuna raa yake mkuu..
 
Gomez abwaga manyanga..
IMG_20200702_174228_917.jpg

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom