ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Hahaha maumbile au uwezoAcha aende tu he is too small for the premier league
Hahaha maumbile au uwezoAcha aende tu he is too small for the premier league
Sawa dada ambaruti, top4 tunawachia nyieNinyi jana mumefurahi sana kwa sisi kufungwa..
Ila munatakiwa mujue kuwa top four itakuwa mutihani kwenu.
CFC![]()
too small? kuliko Lenon? Lingard? mhAcha aende tu he is too small for the premier league

Nakuona ebitoke kwenye Ubora wako.Sawa dada ambaruti, top4 tunawachia nyie
Cc Bruno Fenandes,GreenWood
Wee ulisikia wapi?Top 4 kitu gani wewe, Watu tunaangazia top 3
Top four ishapatikana nyie kamilisheni ratiba.★Naona ushaanza kuhamia Leicester City maana si kwa kujitetea hiviJahazi la ChelShit limeanza Kwenda Mlama Sharti kujiokolea sehemu iliyo na unafuu
utatajikuta unatetea mpaka The Red Devils ambayo unajikuta huijui jina unaiita Nyumbu Kazi ipo★
★Kinachowapata Hawa Majogoo wa London mi sitaki kuamini kwakweli 3=45★
nyie jiandaeni tu mnachukua nafasi ya Ngapi kati ya 6~7 Tusiongee sana★
Top four ishapatikana nyie kamilisheni ratiba.
Gomez kamkaba Sterling mpka anamshika konga duuuuuh hali tete 


★
Sisikii, naona
Wee ulisikia wapi?
Yes kuliko hao au mm huwa namuonaje ?too small? kuliko Lenon? Lingard? mh![]()
1.6 vs 1.65 🤔Yes kuliko hao au mm huwa namuonaje ?
Mkuu hata Westham United anataka kucheza UEFAAcha mbwe mbwe .."Wee ulisikia wapi?"
Tatizo ninyi mukishinda mechi tatu vichwa vinavimba kweli kweli ..ninyi man u fans mnakuwaga na akili mbofu mbofu ...
Kuhusu top four itabid usahau mapema ..ondoa ayo mawazo mze..
Unadhani Leicester ataki kucheza UEFA? Ee bwana wee usahau kabisa UEFA kuna raa yake mkuu..
Hope umejionea mwenyewe1.6 vs 1.65 🤔
Kwani siyo tofauti ?kwa hio tofauti ya 0.05?![]()