Kante ni kiungo mkabaji , so kumfananisha na Pogba ni makosaKante, Debruine ni takataka?
Hapana.Katika hao makipa uliowataja King
Binafsi naamini Terstegen & ederson ubora wa timu zao unawaongezea advantages kuwafanya wawe makipa bora .
Achana nae huyo anamatatizo.Kante, Debruine ni takataka?
Bila kusahau mifumo ya uchezaji man utd imebadilishwa sana ili kumbeba yeye,lakini wapi.There you talk man
Messi mara ngapi humu watu wanasema kuwa Barcelona ni Messi..that means kuwa anaibeba timu mgongoni hata kipindi wachezaji wengine wakiwa hawaperform vizuri au wako hovyo..na anafanya hivyo consistently..
Sasa watu wanataka Pogba azungukwe na World class players wote ili na yeye tumuone kuwa ni World class..Hakuna kitu kama hicho
Naamini hakuna anayebisha kuwa Pogba ni Talented lakini watu wanalaumu work rate yake,na mizaha mingi anayoifanya as if ni mtu ambaye ajamature..
Kuna wengine wanazungumzia nafasi anayochezeshwa,mind you,hakuna nafasi ambayo Pogba hajawahi kuchezeshwa ambayo watu wanashauri achezeshwe..
Mkuu umesema vizuri sana,kunywa Pepsi baridi nitalipa mimi.Mchezaji unatakiwa ujibrand hata kama timu inaenda mrama bado unatakiwa uoneshe ya kwamba we ni world-class player, wengi tumesoma shule za Kata enzi hzo unakuta walimu watatu na NECTA ni jiwe , lakni kuna wababe walikuwa wanachomoka na dv 1 au 2, hawahitaj mazingira kuwin battle, ....kama Pogba mpak awekewe mazingira maalum ndo aonekane bas huyo sio world-class player , ni mchezaji Tu wa kawaida kama shishimbi mwenye majonjo mengi
HahahahahahahahahahHahahahahahahahah
Wachezaji 2 tu ulimwenguni ambao ni irreplacable, na wanafahamika
Akina Ndidi wame replace watu huko Leicester, akina Matuidi wamereplace watu huko Juve n.k.
Pogba anaweza kuwa replaced na viungo zaidi ya 10 ulimwenguni, na kiungo kikaimarika zaidi
Kumfananisha De Bruyne na Pogba, ni kumtukana huyo Mbelgiji
Naona story za kupata DoF zimeanza tena
Ndiyo anakuja Van Dar Sar ama?
itakuwa kuna mzembe anapigiwa hesabu za kutimuliwa kibaruani na sheikh woodward.Naona story za kupata DoF zimeanza tena
Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa Bodi ya Man United kabla haijawa too late
Hii kujivunia "Big Brand" iangaliwe kwa Makini.
Tulishazoea kuwa linapokuja suala la Mapato Man United inakua juu kwa kila idara.
Lakini msimu uliomalizika naona kwenye Mapato ya TV imekuwa wa 5, imepitwa na hata Spurs.
View attachment 1202424
itakuwa kuna mzembe anapigiwa hesabu za kutimuliwa kibaruani na sheikh woodward.
sijui atakuwa ni labile, matic au bwana yule kutoka norway?
hayo majukumu ya DOF mbona hayajawekwa wazi mpaka muda huu?
dalili zinaonyesha wazi ed woodward bado ataendelea kushikilia nyadhifa zote za kimaamuzi ya ndani ya uwanja na si kwamba atajikita zaidi kwenye eneo la biashara,
nitamshangaa sana edwin van der sar kama atakubali ofa ya manchester united, ni bora aendelee kufanya kazi kwa uhuru huko ajax kuliko kuchota fedha nyingi kwa kazi isioeleweka.
huo ndio mtazamo wangu.
Rashidi kamzidi James? Au hujapanga mkuu?Wachezaji wenye kasi zaidi Manchester
1. Deji Sotona (Miaka 16, yupo academy)
2. Diogo Dalot
3. Tahit Chong
4. Marcus Rashford
5. Daniel James
Sikuwahi kumuona Dalot kama ni mkimbiaji kiivyo, sometime eyes can be deceiving