Kumbe anapiga pasi ambazo song alikuwa anazipiga Mzee, halafu pale united sidhani kama kuna namba aipendayo ambayo hajachezeshwa. Mou kuna kipindi alijaribu kumbadilisha ktk maeneo tofauti tofauti pengine angeona ubora wake ila jamaa akawa hana consistency.
kiwango chake kama mo banka tu.
 
De brune anamzidi pogba huo ndo ukweli, jamaa ni fighter Sana, anafunga ana assist, na anakaba kinoma, pogba ana kipaji ila Hana jitihada, goigoi Sana, kiuchezaji bado pogba ana akili za kitoto, De brune ni mapafu ya mbwa jamaa ni non stop na ananyooka fito hatariii
Aise Pogba unamuita goigoi?? Huoni anavyokichafua pale France!! Uyu Pogba ni kwamba hana mzuka na OT tena ..subiri asepe ndo utaona umuimu wake ..Paulo ni moja ya viungo bora sana kweny mpira wa sasa ..Sema timu anayocheza ndo inamuangusha..
 
Mimi siipendi Manchester as Manchester na sio wachezaji wa Manchester, Current players have nothing to do with our historical background

Kwahiyo Pogba na Martial ninawakubali sana
Na Martial pia kumbe unamuelewa

Strength zake ni zipi??
 
20190907_093653_rmscr-1-1.jpg

Premier League clubs are set to get rid of the early closure of the summer transfer window. United along with a growing amount of other clubs want to return to the previous system.

Kwamba muda ni mfupi au? What is logic here?
 
Source? Kama ni kweli

Sababu ni kwamba, kwa kuwa ni wao tu ndio wanafunga mapema kwahiyo wengine (Ulaya) wanakuwa na advantage ya kuendelea kusajili wakati wao hawawezi kusajili tena. Mbaya zaidi timu nyingine zinaweza kuwabomoa wao wakati wao hawawezi kujijenga tena.

Kufunga dirisha kabla ligi haijaanza ni wazo zuri kama vilabu vyote Ulaya vingekubaliana kufuata huo mfumo
View attachment 1200494
Premier League clubs are set to get rid of the early closure of the summer transfer window. United along with a growing amount of other clubs want to return to the previous system.

Kwamba muda ni mfupi au? What is logic here?
 
Aise Pogba unamuita goigoi?? Huoni anavyokichafua pale France!! Uyu Pogba ni kwamba hana mzuka na OT tena ..subiri asepe ndo utaona umuimu wake ..Paulo ni moja ya viungo bora sana kweny mpira wa sasa ..Sema timu anayocheza ndo inamuangusha..
Mchezaji unatakiwa ujibrand hata kama timu inaenda mrama bado unatakiwa uoneshe ya kwamba we ni world-class player, wengi tumesoma shule za Kata enzi hzo unakuta walimu watatu na NECTA ni jiwe , lakni kuna wababe walikuwa wanachomoka na dv 1 au 2, hawahitaj mazingira kuwin battle, ....kama Pogba mpak awekewe mazingira maalum ndo aonekane bas huyo sio world-class player , ni mchezaji tu wa kawaida kama shishimbi mwenye majonjo mengi
 
Mchezaji unatakiwa ujibrand hata kama timu inaenda mrama bado unatakiwa uoneshe ya kwamba we ni world-class player, wengi tumesoma shule za Kata enzi hzo unakuta walimu watatu na NECTA ni jiwe , lakni kuna wababe walikuwa wanachomoka na dv 1 au 2, hawahitaj mazingira kuwin battle, ....kama Pogba mpak awekewe mazingira maalum ndo aonekane bas huyo sio world-class player , ni mchezaji Tu wa kawaida kama shishimbi mwenye majonjo mengi
There you talk man

Messi mara ngapi humu watu wanasema kuwa Barcelona ni Messi..that means kuwa anaibeba timu mgongoni hata kipindi wachezaji wengine wakiwa hawaperform vizuri au wako hovyo..na anafanya hivyo consistently..

Sasa watu wanataka Pogba azungukwe na World class players wote ili na yeye tumuone kuwa ni World class..Hakuna kitu kama hicho

Naamini hakuna anayebisha kuwa Pogba ni Talented lakini watu wanalaumu work rate yake,na mizaha mingi anayoifanya as if ni mtu ambaye ajamature..

Kuna wengine wanazungumzia nafasi anayochezeshwa,mind you,hakuna nafasi ambayo Pogba hajawahi kuchezeshwa ambayo watu wanashauri achezeshwe..
 
Back
Top Bottom