Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

UTD imefeli kwa sababu ya kutojua ni Muda gani sahihi wa kufanya Dili zake na wachezaji kuhusu Mikataba na Ishu ya Sajili Pia.

Herrera, Mata, De Gea, Pogba, Lingard, Matic, CR7, Zlatan, Cavani, Varane, Martial,
Hakuna hata Mchezaji Mmoja UTD imepata hata senti kwenye kuondoka kwao. Wote wameondoka kama FREE AGENTS.

Bruno ni Mzuri sana lakini huwezi tengeneza timu kumzunguka Ligi ikianza anaingia Miaka 30, Shaw anafika 29, Rashy 27 na hamna namna unaweza tengeneza timu kumzunguka hana Mentality ya Kuibeba timu.

BRUNO, SHAW, RASHY ni Muda sahihi wa Kuwauza kipindi hiki wanauzika.
@MZANZIBAR
 
Bruno na Rashy hawapaswi kuuzwa. Kitu bora itakuwa kusajili wachezaji bora kwenye hayo maeneo.

Hao ni wachezaji wazuri kuongeza ubora wa kikosi. Ukiwauza hao maana yake unaanza upya kutafuta wachezaji 4 na bado kikosi kizima kinahitaji maboresho.
Zikipatikana Ofa Nzuri sidhani kama kuna Haja ya kuendelea kubaki nao. Umri sio Rafiki kwao na Rashy haonyeshi Dalili zozote za Kukua.

Msimu Ukianza Bruno anakuwa amebakiza Mwaka Mmoja kwenye Mkataba wake, Yupo kwenye Gbp 240k Weekly, Rashy 375k, Shaw 200k. Hawa ukifanya Mazungumzo ya Mkataba Mpya Inabidi Uongeze Dau kitu ambacho kinaathiri Mazungumzo ya Mikataba na Wachezaji wengine huko Mbeleni.
 
Hiki kizee kiwizard
 
Attachments

  • IMG-20240516-WA0554.jpg
    IMG-20240516-WA0554.jpg
    141.7 KB · Views: 18
Kwel kabisa mnakaaje na beki kati zote za nje embu uzen saliba tuwape Lord MAGUIRE😀
Acha tu tupambane na hali yetu. Tuko na Saliba, acha tu tukomae nae hivyo hivyo tusiwaharibie bahati yenu ya kuwa na Maguire. Mkiona waingereza wamewazidi, tupeni hata Mainoo.
 
Ukiiangalia timu yetu jina la mchezaji mmoja mmoja kama shabiki unajua tuna timu mbovu. Bahati mbaya sana tumekaa na hawa wachezaji si chini ya misimu 3 hadi 5 lakini hawabadiliki kiuchezaji, hawafuati mbinu za walimu na hawana ubora katika maeneo yote uwanjani. Lakini ukipata taarifa ndio wachezaji tunaotegemea kuwaona tena msimu ujao kama backbone ya timu, unaanza kukata tamaa kabla hata ratiba ya mechi ya msimu ujao haijatoka.
 
Tungojee bwanyenye mpya atasemaje
 
Ni siku nyingine tena ndo tunaenda kumaliza msimu tumechapwa sana aise vijana wa Bwenyenye Sir Jim leo tuna jambo letu.

Kwa mara nyingine leo tunaenda kufanya maangamizi pale.
watapigwa Sana wale 🤏

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha 😁😁😁
20240519_165621.jpg
 
Back
Top Bottom