Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uzuri pogba muweke namba 10 ktk 4-2-3-1 , au wanaita attacking midfielder ktk mech 10 atakupa assist 10+ , halafu uwe na clinical forward .

Maana atapiga Zile long balls ambazo nimewahi kuzishuhudia kwa Alex song akimpa Robin van persie ., Pia pogba ana piga mashuti , atapiga Faulo ,

Hapo ndipo utaushuhudia uwezo wa pogba , na ogopa sana Pogba akicheza hiyo namba .
 
Ndo mana tunasema Pogba hamna kitu, yeye yupo limited,
 
Hata kama tunamchukia Pogba lazima tumpe heshima yake.

Kati ya hilo kundi ni wawili tu ndiyo wanaoweza kumsogelea Pogba na hao ni Kelvin De Bruyne na Christian Eriksen hao wengine ni kumtukana huyu fundi mweusi.
Thiago Alcantara

KDB

Bruno Fernandes

Ericksen

Van De Beek

Verati

James Madison

Saul Niguez

The list is very long Mkuu
 
Pogba mimi simpendi tabia zake za kupoteza mipira bila kukaba lakini kiwango chake nakiheshimu sana.
Uzuri pogba muweke namba 10 ktk 4-2-3-1 , au wanaita attacking midfielder ktk mech 10 atakupa assist 10+ , halafu uwe na clinical forward .

Maana atapiga Zile long balls ambazo nimewahi kuzishuhudia kwa Alex song akimpa Robin van persie ., Pia pogba ana piga mashuti , atapiga Faulo ,

Hapo ndipo utaushuhudia uwezo wa pogba , na ogopa sana Pogba akicheza hiyo namba .
 
Hata kama tunamchukia Pogba lazima tumpe heshima yake.

Kati ya hilo kundi ni wawili tu ndiyo wanaoweza kumsogelea Pogba na hao ni Kelvin De Bruyne na Christian Eriksen hao wengine ni kumtukana huyu fundi mweusi.
wewe unataka kudanganya kuwa pogba anamgusa veratti?
 
Alicheza huo mfumo kwenye timu gani ?

Timu alizocheza Juventus,France hawachezi huo mfumo

Pogba ana potential hata ya kushinda Balon D'or lakini yeye mwenyewe hajali ndio maana anaishia kulaumiwa kila siku

Huwa ana-relax sana uwanjani na wapinzani wameshamjulia wanampora mipira kirahisi sana
Uzuri pogba muweke namba 10 ktk 4-2-3-1 , au wanaita attacking midfielder ktk mech 10 atakupa assist 10+ , halafu uwe na clinical forward .

Maana atapiga Zile long balls ambazo nimewahi kuzishuhudia kwa Alex song akimpa Robin van persie ., Pia pogba ana piga mashuti , atapiga Faulo ,

Hapo ndipo utaushuhudia uwezo wa pogba , na ogopa sana Pogba akicheza hiyo namba .
 
Alicheza huo mfumo kwenye timu gani ?

Timu alizocheza Juventus,France hawachezi huo mfumo

Pogba ana potential hata ya kushinda Balon D'or lakini yeye mwenyewe hajali ndio maana anaishia kulaumiwa kila siku

Huwa ana-relax sana uwanjani na wapinzani wameshamjulia wanampora mipira kirahisi sana
Kwa hiyo suluhisho ahame timu?
 
Uzuri pogba muweke namba 10 ktk 4-2-3-1 , au wanaita attacking midfielder ktk mech 10 atakupa assist 10+ , halafu uwe na clinical forward .

Maana atapiga Zile long balls ambazo nimewahi kuzishuhudia kwa Alex song akimpa Robin van persie ., Pia pogba ana piga mashuti , atapiga Faulo ,

Hapo ndipo utaushuhudia uwezo wa pogba , na ogopa sana Pogba akicheza hiyo namba .
Kumbe anapiga pasi ambazo song alikuwa anazipiga Mzee, halafu pale united sidhani kama kuna namba aipendayo ambayo hajachezeshwa. Mou kuna kipindi alijaribu kumbadilisha ktk maeneo tofauti tofauti pengine angeona ubora wake ila jamaa akawa hana consistency.
 
Back
Top Bottom