Tena wewe uliechomoa betri pale msamvu , hivi inaelewa logic ya nilichoandika??Logic gan wakat unadanganya watu Maguire kubeba EPL ,wakati Maguire kaja Leicester juzi juz tu hapa
Chevrolet wameondoka ?
Navyojua, mazoezini ndiyo wanavaa AON kwenye mechi ndiyo wanavaa Chevrolet.Chevrolet wameondoka ?
Unatakiwa ujue kuwa ili usajili ukamilike. Is not about money tu.. mchezaji na yeye itabidi aridhie binafsi.
J.felix alikataa kabisa kuja man u yeye kama yeye. Team haiwez kumlazimisha.
Halaf kuna tabia ya wachezaj na timu zao kuona man u ni kama sehem ya kutajirika. Yaan wanapiga bei kubwa. Mambo ni mengi na usajili si mrahis kihivyo.
120 hizoHii ndio Chelsea ambayo ikicheza na United inaonekana ni kibonde kuliko Wolves
Chukua ndoo hiyo mkuuAngalieni tunavyomnyoa kuku uko..
This is Chelsea..
😂Angalieni tunavyomnyoa kuku uko..
This is Chelsea..