IMG_20190814_160329.jpg
 
Logic gan wakat unadanganya watu Maguire kubeba EPL ,wakati Maguire kaja Leicester juzi juz tu hapa
Tena wewe uliechomoa betri pale msamvu , hivi inaelewa logic ya nilichoandika??

Naona umeamua kuja kishari , nikuonye tu Mimi niko tayari kupambana na wewe kwa vita ya aina yoyote .. Kwasababu unataka kuniharibia siku Yangu baada ya kuwa na Furaha isiyomithirika kutokana na ushindi mororo wa 4-0 kutoka kwa wale vijana wa daraja la Manzese ( Chelsea ) .. Nakuomba ujibu tena " Kibwege" uinr nitakavyokuangusha chini , nikuchomoe betri,l na kuiba mafuta ili uripuke kisawasawa.. Ng'ombe wewe
 
Unatakiwa ujue kuwa ili usajili ukamilike. Is not about money tu.. mchezaji na yeye itabidi aridhie binafsi.
J.felix alikataa kabisa kuja man u yeye kama yeye. Team haiwez kumlazimisha.

Halaf kuna tabia ya wachezaj na timu zao kuona man u ni kama sehem ya kutajirika. Yaan wanapiga bei kubwa. Mambo ni mengi na usajili si mrahis kihivyo.

Naww nikaongo kweli
 
Back
Top Bottom