Ibofwee
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 1,305
- 2,449
HayaHahahahaha !! Nikumbushe wema wako nisije laumuuu,nikumbushe fadhili zako wakati Wa magumu,niimbe wimbo wa sifa katikati ya majonzii.
#hatawafiwahujifarijiwakatiwamsiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo shida ya hawa fanboys wa manureYani unajipangia nafasi ya 3 wakati hata ya 4 hujaipata?![]()
![]()
Hahahahahh wewe unaingia uwanjani unamtegemea Lukaku? Are you mad? Nasisitiza UEFA nakutaka nikufundishe jinsi mpira unachezwa na jinsi magoli yanafungwa.EIDHA TUFUNGWE ,TUTOKE SARE AU TUSHINDE ,TUTABAKI KUWA MAN UNITED .
GLORY GLORY MANCHESTER UNITED
Kutotumia nafasi nyingi za wazi kumetucost. Lukaku leo atasemwa sanaaa. Hii hutokea mara nying kwenye mcezo wa mpira. Ukijiskia kumlaumu sana Lukaku , kumbuka kuna game tatu za hivi karibuni yeye ndo alikuwa mwokozi wetu.
Hahahaha lazima mtafute pa kujifichia hahahaha ..Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale
Kwangu mimi poa tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kuna uyo ndorobo alisema watashinda sita... HahahahaKuna Ndorobo mmoja wa Manure eti anawaza kumshusha Liverpool nafasi ya 2![]()
![]()
Hahahaha lazima mtafute pa kujifichia hahahaha ..
Zile sita ziko wapii hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahh wewe unaingia uwanjani unamtegemea Lukaku? Are you mad? Nasisitiza UEFA nakutaka nikufundishe jinsi mpira unachezwa na jinsi magoli yanafungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app