Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united haijashuka kiasi hiko kwenda kuchukua makocha wa mchangani huko. This is united bwana.. kama pesa ipo wachukue kocha wa maana.. ww unataka kocha hata kombe la FAhajawahi chukua? Be serious man

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao majamaa wanapewaga maoni na wahuni wa vijiweni kuwa Wagner kocha ukimuuliza Mara ya mwisho Wagner alishika namba ngapi anatoa tu macho.... Kwanza tumefungwa katika hali ya kimchezo tu na bahati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Over confince makes you careless. Ila sidhan kama ndio kimeifanya man u ishindwe leo.
Kupotea kwa kiungo leo kume wacost sana man u. Fred sikuzote huwa hana mawasiliano mazuri na viungo wenzie. Ndio maana siku akianza timu lazima icheze vibaya..
Huyu mshkaji hana tofauti na sanchenz
Overconfidence mbaya Sana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We will continue to be in cityzen's shadow forever kama tutaendelea kuwa na mashabiki dickheads kama wanao amini kuwa haka kakocha katatufikisha popote

Sent using Jamii Forums mobile app
go to city then nobody cares the f*ck you are saying.... Kama huamini project ya timu unaruhusiwa kuondoka Kama alivyoondoka ndugu yako Mou...mliojua mpira 2019 mnasumbua sana yan mnakurupuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hujamuona fred. Cant pass.. cant mov hana speed. Hasaidii attaks. Yaani hovyo.
Angekuweo perreira mambo yangekuwa sawa pale. Fred hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona kitu naona watu wote hawakioni.halftime ilikua unatoa fred unaweka tomnei.maana weaknes ilikua kwa fred mipira yote ya aseno inapita hapo kwake young anapata shida.
All in all fred siyo mchezaji wa kucheza man u.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale

Kwangu mimi poa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mmefungwa sababu Arsenal ni timu bora kuliko United kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa aliyeingia ghetto la wajeda mbona hatoki huko ndani
tapatalk_1552245219377.jpeg
 
Rashford media za epl zinamuharibu huyu dogo na kocha asipokuwa makini atapoteza hii talent.
He is too over confident sehemu ya kupass anadrive sehemu ya kushoot anadribble yaani ovyo kila muda anawalaumu wenzake tu game inavyoenda mbele hakabi wala kupress dogo ni mchoyo wa dunia sijui kwa nini ole hakumtoa kwenye hii game.
Pogba nae game ikimkataa anapotea sana hana plan b hakabi wala kupress akipoteza mpira analoose sana mipira sehemu hatarishi na anatemper sana picking yellow cards zisizokuwa na msingi
Matic tatizo lake linaendelea he is too very f..c.k..n slow anahold sana mipira bila sababu za msingi kwenye half yetu imagine a cdm who is supposed kuhelp defend ndo analoose mipira karibu na lango lenu ii game ilibid aanze scott toka mwanzo
Our midfield leo fred ndo kidogo kajitahid wenzake wote wanamtegea hawaendi kukaba etc.
Also Dalot hawezi bado kucheza kama winger kaingia kapwaya sana hakuna kashkash yoyote he is very slow has no vision etc
My note
Rashford and pogba should start to be benched and even substituted lasiivyo wataendelea kucheza upuuzi wakijua wana assuarance ya kuanza.
So far luke shaw kajitahidi sana leo.
All in all GGMU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna watu wanajiita mashabiki wa Man Utd then wanakukatazaga humu wanasema eti tufukuze kocha....hahahaha wish to meet you bros kwanza mnaonekana mpira hamuujui mtu na akili zako tunanunua unasema eti bora angebaki Mourinho mwingine anasema eti tumor timu Wagner hivi mnaakili nyie? Kwa kipindi tulichopitia naona kuna watu walihamia rugby ndo wamerudi wanapendekeza watu wa ajabu.... Ole is here to stay na atabaki mpaka atakapochoka yeye.....kama Unataka Mou arudishwe au Wagner awe kocha so simply hama timu mfuate Wagner anakoenda au anzisha timu yako mpe timu Wagner na Mou...


GGMU OLE AT THE WHEEL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu

Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.

By the way, United ataendelea kuwa United.

Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.

In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.

Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.

Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.

Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99

United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi



Sent using Jamii Forums mobile app
Overconfidence imewaumbuaaa..

Mulisema mutashinda sita

Hahahaha...

Point tatu dropped...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom