Naona vijana wa Arsenane wamejaa sana humu
Mungu ni wetu sote hivyo kudhani kila siku tutawafunga ni kujidanganya. Pia kudhani kwamba OGS asingefungwa hata mechi moja ni kutojua soka.
By the way, United ataendelea kuwa United.
Tumefungwa. Imeuma. Maisha yanaendelea. Imagine wewe kwenye mechi 18 umefungwa mechi 2, kuna wenzako wametunguliwa mechi za kutosha tu.
In fact, siku ya jumatano asubuhi ningeambiwa nichague kuingia robo fainali ya UCL na kufungwa na Arsenane ningechagua hili la pili.
Kiufupi hatukucheza vibaya, japo makosa madogo madogo yametufanya tupoteze mechi.
Hatukutumia nafasi tulizopata kwa ufasaha lakini pia tumefungwa goli ambazo kwa mtazamo wangu zingeweza kuzuilika. HAMNA HAJA YA KUNYOOSHEANA VIDOLE, HUWEZI KUSHINDA MECHI ZOTE.
Arsenane hongera yao kwa kupunguza uteja, leo wamesogeza, walikuwa wametufunga mara 82, leo wamefikisha mara ya 83. United amebaki kuwa amewafunga karne kasoro 1 yani mara 99
United yupo kwenye mbio za top 4, yupo robo fainali ya FA, yupo robo fainali ya UCL, kwanini wewe shabiki wa United ukose usingizi
Sent using
Jamii Forums mobile app