Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahah Leo nisiku yako ya kushine mkuu , may you keep the thread alive please!!
Huyo Lukaku unae muunder rate leo, kwetu sie ni lulu kwa kiasi chache.

Unakosea sana kumjibu huyo barcelona na manchester united wapi na wap kwani ligi zimeungana mkuu?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Aisee DALOT mbovu sana, nadhani wale walinitukana leo wameona. Yuko very slow. Winga ya kulia ni kama haikuwepo. Hakuna kijana wa academy huko namba 7 aje akamate hapa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba arsenal ni wapuuzi watakuwa wanafungwa kwao mechi ya tatu mkuu?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Wale tuliowaumiza tangu kuja kwa OGS na juzi baada ya kuwafurusha virago PSG bila wao kutarajia leo hawatolala,watakesha humu kwenye thread yetu.

Raha ni kwamba mashabiki wote wa MUFC wanatambua fika kuwa timu nyingine hazina mashabiki bali zinashabikiwa na watu wenye chuki na MUFC.


😀😀😀
 
Sure! Degea na yeye apumzike kidogo naona anatoka kwenye form.

Fred kacheza mpira leo, nimependa pia movement za Greenwood! Dogo anaonekana mzuri!!

Hamna mkuu ni mechi tu ilivyokuwa mi nalia na viungo tu akicheza herrera au scott huonu ujinga wa leo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mara nyingi tukicheza bahati imekuwa upande wetu lakini leo imegoma na kuhamia kwa Asernal..

Tumecheza vizuri tu lakini matokeo hayajatufever. Lukaku sijui anahitaji nafasi ngapi ili atumbukize kambani... hili nadhani hata yeye linamnyanyasa sana kuona ni kiasi gani anakosa nafasi za wazi na kuigharimu timu. Fred ameendelea kuimprove siku hadi siku... leo amecheza vizuri sana ile penalty ni tension tu ya mchezo hii ni baada ya kuona kazidiwa na jamaa anafunga hivihivi akatumia maujanja ya kumsukuma lac kwa bega bahati mbaya kwake refa alikuwa Karibu sana akilishuhudia tukio hilo umbali wa sentimita kadhaa... but kwa hakika amecheza vizuri sana, wakati ambao Matic alipwaya Fred alikuwapo kusaidia..

Sijui ni kwanini Ogs ameamua kumuanzisha Matic akimuacha Mctimaney ... binafsi nilidhani angeanza na Mctimney, Fred na Pereira kama kawaida halafu Dalot na Matic wasubiri kwanza... kwa wale waliokuwa wakilalamika ni kwanini Dalot kaanza badala ya Martial nadhani wamegundua ni kwanini.... kocha ndie anayekaa na wachezaji anajua yupi yuko fit na yupi asubiri..

So far... tumecheza poa sana, hata asernal wenyewe wanashangaa ni aje wamepata ushindi ktk mechi hii..!! Tunaendelea kusonga mbele tukirekebisha makosa ya hapa na pale kwa mchezo wa leo..

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hujamuona fred. Cant pass.. cant mov hana speed. Hasaidii attaks. Yaani hovyo.
Angekuweo perreira mambo yangekuwa sawa pale. Fred hamna kitu
Aisee DALOT mbovu sana, nadhani wale walinitukana leo wameona. Yuko very slow. Winga ya kulia ni kama haikuwepo. Hakuna kijana wa academy huko namba 7 aje akamate hapa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1552244010713.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri tufukuze mwalimu tumchukue David Wagner aliyeondoka huddlesfield


Sent from my iPhone using JamiiForums
Man united haijashuka kiasi hiko kwenda kuchukua makocha wa mchangani huko. This is united bwana.. kama pesa ipo wachukue kocha wa maana.. ww unataka kocha hata kombe la FAhajawahi chukua? Be serious man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We will continue to be in cityzen's shadow forever kama tutaendelea kuwa na mashabiki dickheads kama wanao amini kuwa haka kakocha katatufikisha popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom