Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila man u fans tupunguze overconfidence, tusiwazarau arsenal kiasi hicho,

Anyway GGMU

Sent using simu mbovu
Kuna rafiki alisema hivi
Screenshot_2019-03-10-21-40-26.jpeg

Sent from my SHV-E330K using Tapatalk
 
GGMU tunashinda pamoja , tunapoteza pamoja
Kilichotupata leo ni kitu cha kawaida, wengi tulizungumza kuhusu matatizo ya fred kuanza, na nafkiri tumeona alivyo perfom poor kipind cha kwanza na alivyohusika directly kwenye goli la pili.
Tusimlaum kocha kwasababu wote hatujui fittnes level ya mctominay.
Tumejitahid kucheza vizur na tumetengeneza nafasi nyingi kabla ya arsenal kupata goli la pili, ambazo tumeshindwa kuzitumia.
Najua kocha ameona mapungufu na naamini atajitahidi ku bounce back .
GGMU together

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let's all be honest..... Arsenal won this match because Lingard wasn't available in his dance floor.
 
GGMU tunashinda pamoja , tunapoteza pamoja
Kilichotupata leo ni kitu cha kawaida, wengi tulizungumza kuhusu matatizo ya fred kuanza, na nafkiri tumeona alivyo perfom poor kipind cha kwanza na alivyohusika directly kwenye goli la pili.
Tusimlaum kocha kwasababu wote hatujui fittnes level ya mctominay.
Tumejitahid kucheza vizur na tumetengeneza nafasi nyingi kabla ya arsenal kupata goli la pili, ambazo tumeshindwa kuzitumia.
Najua kocha ameona mapungufu na naamini atajitahidi ku bounce back .
GGMU together

Sent using Jamii Forums mobile app
Chance nyingi sana hata kabla ya goli la kwanza... But naamini kapata cha kujifunza leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo sijaangalia game lote kwa dakika nilizoona nadhani mechi ya leo ina mengi ya kujifunza sana,kuna comb zinakataa kabisa hawatakiwi kukaa pamoja .

Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba-matic-fred very poor one.... Pia nimeona kauvivu flan leo sjui kametoka wap... Pia rash selfishness na kutojituma sana as back days...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom