lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,430
- 25,669
Ukiachana na Pogba nadhani man of the match ni McTominay, ameninyooshea sana Zaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto kafanya nimemsahau Matic.
Ukiachana na Pogba nadhani man of the match ni McTominay, ameninyooshea sana Zaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha usimwamini ToT.
Sent using simu mbovu
Unajua tott ana mechi na liver na man city halafu zote away.Tote yuko mbali sana mkuu hatuwez mfikia
Hongera mkuu. Itakuwa OGS alikulikishia kikosiKuijua team yako haikupi shida.. kama nililala United vile.
Sure!wanajua maana ya kuvaa jezi ya utdNdio advantage ya kuwa na wachezaji toka academy
Tote yuko mbali sana mkuu hatuwez mfikia
Ukifanya upuuzi unaambiwa mkuu,sio kusifu tu na kuabudu hata ujinga....btw nani man of the match wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tott ana mechi na liver na man city halafu zote away.
Btw ametuzidi pointi 5 tuu.
Sent using simu mbovu
Ila namuomba sana anikazie arsernal. Ili tukikutana nae asiwe na consistencyHaswa katika kumaliza msimu...nadhani wao wanaona kuingia top 4 ndio aim yao kubwa sasa msimu huu wataona vumbi tu
Nilikuwa natafuta angalau hata mdau mmoja aliyemwaga sifa kwa man of the match wetuBig up mkongo man Bolingoli lukaku
Unawaza Namba tatu wakati hata top four bado hujaingia..Timu ikipambana pale namba 3 inawezekana kabisa
Kwhy mkuu we unawaza namba ngpi