Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unawaza Namba tatu wakati hata top four bado hujaingia..

Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4 ni must ukifanya hesabu za fasta fasta tunaingia sababu kwa asno tuna point 3 Chelsea 3 Manchester City akikomaa anapata sare Hawa vidagaa wote wanafungwa vizuri tu sababu kama leo wachambuzi wengi walifikiri Man united atafungwa na palace
 
Yeyote atakayekatiza mbele ya Chelsea kwa sasa ni khalali yetu..

Itabidi iwe hivyo sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0303.JPG

Huyu dogo akifikisha miaka 21 itakuwa shida ndo kwanza ana 19
 
Back
Top Bottom