Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Nadhani baada ya leo OGS kajihakikishia kazi...kama kikosi hiki tumepata matokeo anastahili full time job
Nadhani management inasubiri mpaka mwisho wa msimu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani baada ya leo OGS kajihakikishia kazi...kama kikosi hiki tumepata matokeo anastahili full time job
Agreed!Huyu Mac hii ni hazina kubwa sana hapo baadae kwa Man utd, dogo anapambana mwanzo mwisho hachoki
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaFred bana kachafuka utafikiri kuna kitu kikubwa alikua anafanya humo ndani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukifanya upuuzi unaambiwa mkuu,sio kusifu tu na kuabudu hata ujinga....btw nani man of the match wako?Cmlikuwa mnamtukana nyie![]()
OGS ni mteuleNadhani baada ya leo OGS kajihakikishia kazi...kama kikosi hiki tumepata matokeo anastahili full time job
Ndio advantage ya kuwa na wachezaji toka academyHuyu Mac hii ni hazina kubwa sana hapo baadae kwa Man utd, dogo anapambana mwanzo mwisho hachoki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fred bana kachafuka utafikiri kuna kitu kikubwa alikua anafanya humo ndani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tote yuko mbali sana mkuu hatuwez mfikia
Point 5 akifungwa mechi moja na droo moja tunamkutaTote yuko mbali sana mkuu hatuwez mfikia
Huyu Mac hii ni hazina kubwa sana hapo baadae kwa Man utd, dogo anapambana mwanzo mwisho hachoki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eti amepatwa na maumivu wakamnyoosha kuinuka tu anaonyeshwa mlango wakutokea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ule ulikuwa unatoka nje, yeye ndo kufanya jitihada za kuzuia usitoke, wakati mazingira Yale yalikuwa aidha uache utoke au usaidie kuusindikiza nje.Kazembea kizembe sana,,kanyanganywa mpira kabaki kasimama tu
Huwa hachezi game za droo.Point 5 akifungwa mechi moja na droo moja tunamkuta
Hahahahahah
Yani mm siamini huyu jamaa tumeuziwa 50
Katika maisha usimwamini spurs.
Ole alimfananisha na Fletcher kwa upambanaji wake yaan hayuko poa sana technically lakn ni mpambanaji mzur
Tominay kucheza powa sanaKiungo kimepotea kbs fred na mctominay wanazurura tu