Mim napingana na wew.pep alipewa pesa akanunua vipaji .....kumbuka jose kapewa pesa nyingi tu lakini akaleta watu kama lukaku
Alinunua vipaji? Alinunua ready made players. Na bado kuna baadhi ya wachezaji alionunua wali flop

Ederson, Claudio Bravo (amenunuliwa baada ya ku flop akaondolewa)

Mendy, Danilo, Walker, Johnstone, Laporte,

Silva Bernardo, Nolito (amenunuliwa na Pep baada ya ku flop akaondolewa), Jesus, Sane, Mahrez,

Kiufupi United hataweza ku compete na akina City, Madrid, Barca, Juve, Bayern kwenye soka kama haitawekeza kwenye kununua wachezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kununua wachezaji na kununua vipaji.....hata kama pep alinunua ready made players lakini ni full of talents....angalia bernado silva.laporte.mendy.gundogan.....halafu angalia wachezaj aliochokua jose.......jose alipewa pesa akatumia kununua wakina lukaku..
Hata ningekua mimi ndo bosi nisingeweza kumpa tena fungu..

Jamani nimekuja kwenu kwa nia njema. Naombeni ushauri wenu kwa sababu nyinyi ni wazoefu wa VIPIGO HEAVY. Mliwezaje kuhimili haya matokeo jamani mbona mimi inanishinda, mpaka sasa sijaamka, nimeshatoa toa sababu mvua kubwa inanyesha ivyo nitachelewa kufika. Lakini kabla sijatoka naombeni ushauri nyie mliozoea vipigo heavy mlifanya nini kukabiliana na hii hali. Nisaidieni wazoefu ngoja niende na jukwaa la Gunners kwa wazoefu wenzenu.

Japo ni mpira ila kijiweni leo hakutakalika kabisa.

Lukaku sio mchezaji mbaya kama unavyomuandika pia anaweza kutumika as backup striker angalia statistics za backup striker wa Man City,Spurs,Arsenal na Liverpool then walinganishe na Lukaku
Then mbona huwataji kina Lindelof,Bailly,Pogba ambao pia walinunuliwa na Mourinho.
 
Ollachuga Oc bado yuko hai ?
 
Lukaku sio mchezaji mbaya kama unavyomuandika pia anaweza kutumika as backup striker angalia statistics za backup striker wa Man City,Spurs,Arsenal na Liverpool then walinganishe na Lukaku
Then mbona huwataji kina Lindelof,Bailly,Pogba ambao pia walinunuliwa na Mourinho.
Sawa na ishu kubwa mm nilikua napinga hoja ya kuwa jose alibaniwa pesa.
 
Kuna kununua wachezaji na kununua vipaji.....hata kama pep alinunua ready made players lakini ni full of talents....angalia bernado silva.laporte.mendy.gundogan.....halafu angalia wachezaj aliochokua jose.......jose alipewa pesa akatumia kununua wakina lukaku..
Hata ningekua mimi ndo bosi nisingeweza kumpa tena fungu..
Lukaku si mbovu kama unavyotaka kutuaminisha. Bado Lukaku ni mchezaji mzuri

Lakini pia hutaji kwamba José pia alinunua Pogba, Lindelof, Bailly mbona huwatolei wao mifano au wao sio vipaji?

Halafu pep anapewa £49 million anunue Mendy, £52 mil anunue Walker, £70 mil+ anunue Laporte.

Glazer ametoa £18 mil anunuliwe Dalot, £ 31 mil anunuliwe Bailly halafu unategemea ku compete naye.

Pep alimruhusu Ihenacho aondoke City, wakati Ihenacho anachipukia alikuwa anafananishwa na Rashford

Pia mbona unajisahaulisha. Nimekwambia Pep alinunua Bravo akaona hafai akamuondoa, akamnunua Nolito akaona hafai akamuuza.

Kocha kununua mchezaji na asi shine kwenye club sio kosa la jinai. SAF mwenyewe mwenyewe alinunua Bebe, Obarten, Djemba Djemba

Halafu hoja ya msingi si José apewe hela (sababu hayupo) lakini hoja yake bado ina hold. Fedha inabidi itolewe ili kuboresha kikosi, na Glazer siblings waache ubahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hoja ya msingi si José apewe hela (sababu hayupo) lakini hoja yake bado ina hold. Fedha inabidi itolewe ili kuboresha kikosi, na Glazer siblings waache ubahili

Kwa mtizamo wangu mi sidhani kama Glazers ni wabahili sema tu kabla ya kutoa hela inabdi wapate coach wanaemuamini anaetupeleka sehemu sahihi mfano Jose alivyokuja mbna alipewa mpunga wa kutosha tu, Lukaku tumemchukua kwa 75,Pogba 85,Matic 40,Fred 52,Bailly na Lindelof 65 mpka hapo ni Mil 300 na ushee utasemaje Glazers ni wabahili?Baadae walivyoshindwa kumuamini ndo wakawa wanambania...ila Akija mtu kama Pochetinno atapewa mpunga wa hatari.
 
Apatikane Sporting Director kwanza

First of all inabidi ufahamu how much profits club imegenerate since Glazers wanaimiliki na how much wame-invest back kununua players.Unakumbuka Woodward alishawahi kusema financial United ina uwezo wa kununua mchezaji yeyote watakayemtaka.

Kipindi ambacho United wametumia £300m timu kama Chelsea,Barca,PSG,Juventua,Man City na Liverpool zimetumia kiasi zaidi ya hizo £300m na United ndio klabu inayo-gerenate fedha nyingi ukilinganisha na hizo timu zote nilizotaja
 
Ok ni kweli United tuna generate pesa nyingi kuliko hao wote sema huwezi kutufananisha na PSG au Mancity coz sisi pesa ni za mapato ya ndani ya Club (business), wakati PSG,Chelsea na City wao zinatoka kwa maSugar Daddy wenye pesa chafu hvyo lazima uelewe kujenerate pesa nyingi haimaanishi kwamba ndo unaongoza kwa pesa hvyo hatuwezi kuwa sawa kwenye transfer budget!

Pia labda hukunielewa vizuri hapo juu hapa swala sio pesa kutolewa hapa swala ni hizo pesa unampa nani?,mourinho alipewa pesa akasajili alafu baadae ye mwenyew ndo akaanza kuponda eti kikosi kibovu,vile vile alisema Kuingia top 4 ni labda Miracle itokee angalia OLE alichofanya na wachezaji hao hao.
 
Back
Top Bottom